Huyu anajiita kuhani Musa na sio nabii musa kanisa lake ni la gharama sana, kahamia toka pale mwenge mpakani ndipo kanisa lake lilipokuwa mwanzo, ana waumini wengi mnooo na hilo eneo lake kalinunua mwaka jana kama sikosei kwa cash zaidi ya pesa za kitanzania milioni 700. Ila ndi hivyo kumuona...
Kuanzisha/kukamilisha miradi ni vitu vya muhimu kwa kiongozi. Ila sio ticket ya kutokupingwa. Ukuu wa nchi una mambo mengi mno mno. Kama umetoa maoni ili kumkampenia Magu ntakuelewa ila kama umetoa huku ukiwa NEUTRAL basi huko 'upstairs' kwako hakuko vizuri jitathmini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.