Ijue vyema tafsiri ya Megawati 2115 za umeme

Mkuu umesimulia vizuri sana, bila kusahau kuna Megawatt 60 za Rusumo kule ambazo tutagawana na Rwanda na Burundi kwa kweli JPM anastahili pongezi wa Tanzania tutaoga umeme.
 
Halafu unakuta jitu linampinga Magufuli! Hawa wezi na misheni town.
Miaka 20 akiwa Waziri alikuwa busy anaangalia Majizi yakiiba. siyo. Ina maana asingepata Urais angendelea kuangalia nchi ililiwa kwa miaka 30 bila kusema kitu .... Watanzania, siyo wajinga!!
 
Ninachotamani kusikia ni kwamba kila nyumba ya Mtanzania itakuwa na umeme siyo sera za umeme kuwekwa mijini tu maeneo machache ya vijijini, pia siyo zile sera za REA et kila kijiji ni umeme kumbe watu gawana umeme majumban
 
You must be crazy upstairs or you are blind! Watu Sio wakamilifu lakini sintakuelewa ukiniambia huoni aichofanyaMagu! He might have some weekness but haimpunguzii kuona vitu alivyofanya! Mijitu mlishazoea shida na inferiority complex sasa amekuja mtu anayejitambua na anataka nanyie mnyenyuke hamtaki.hata Kenya sasa wanafyata mikia halafu mnataka kuturudisha kwenye ujinga wa zamani
Big up boss!!
 
Back
Top Bottom