Recent content by 208BRK

  1. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

    Man water pia ni best na Duke wa M Lab nawakubali sana
  2. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

    Majani MJ Lamar Bob junior KGT Maneke Ema the boy Kid bway Maproducer ovyo kwenye maisha yangu Laizer T touch Lolpop Kisaka D X yaan hawa hata bure sirekod kwao Mungu unisamehe.
  3. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Unajipaka mafuta gani mwilini?

    Babycare
  4. 208BRK

    JamiiForums Tanzania P - Funk adai Fid Q ni MC namba moja duniani

    Ni mkali sana fid ila alinichekeshaalipojaribu kuwa fat joe kwenye all way up. Yaan beat ilimshinda had huruma makosa yake baadae yalifutwa na diamond plutinum aliiimudu beat had nikataman aache kubana pua awe rapa tu. Fid ni best mc in East Afrika lakin kwa dunia bado maana hata afrika tu kuna...
  5. 208BRK

    JamiiForums Tanzania P - Funk adai Fid Q ni MC namba moja duniani

    Hapo sijaona level ya fid
  6. 208BRK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mke anaombwa ruhusa au anapewa taarifa?

    Mi nasemaga ngoja nije sehemu fulani
  7. 208BRK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi ya bei chee inawezekana, wanawake acheni kutushinikiza

    Mungu awabariki
  8. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Harusi ya kimasikini

    Wapi huko???
  9. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wagundua jiwe lenye ‘utajiri wa kutisha’ angani

    Ni $600+bln
  10. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wagundua jiwe lenye ‘utajiri wa kutisha’ angani

    Nadhani njia sahihi ya kuitajirisha duniani ni kutengeneza hela nyingi tu ili tukashindanie hela na akina jaduu
  11. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Kumbe huyu Trump ni bonge la comedian

    Mughabe pia kapita shule kama hizi na huwa ziko chini ya jesuit ndio maana ana uwezo wa kumsema na kumfanya chochote mtu yeyote duniani na asifanywe kitu chochote na yeyote kaso papa tu ndio yuko juu yao kina trump na Mughabe na wengine wachache sana
  12. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Kumbe huyu Trump ni bonge la comedian

    Israel ni jimbo la marekani na viongozi wote kama netanyahu na wenzake ni watu kutoka nato na wako chini ya UN sasa trump atanyimaje msaada wamarekani???
  13. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

    Mengi yao mabwabwa tu
  14. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

    Wanasema Joh anabebwa hadi nahisi ni ukweli
  15. 208BRK

    JamiiForums Tanzania Trump: Magaidi wateswe, pigana na moto kwa kutumia moto

    Time for trueth. Trump fanya kazi
Back
Top Bottom