Recent content by 2015

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina CPA

    Peleka CV PWC, Delloite, KPMG, E &Y etc ila kumbuka gross ni 1.2. sasa miaka 5 exp kwa gross ya 1.2 sijui utawezaje
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Mchumba Mwema namtafuta jamani

    Hahaa karb sio gia
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Mchumba Mwema namtafuta jamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa jf nzima kwa namna inavyosaidia kubadilisha maisha yetu, jf ilinisaidia kupata kazi enzi hizo nimemaliza chuo kikuu. Baada ya shukrani naomba mdada mzuri anayeishi Dar ambaye yupo tayari kufanya maisha na mimi awasiliane na mimi kupitia 0654 531 647. Sina...
  4. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    Nataka mke wa kuishi nae katika hali na mali, sitaki wa kufuata pesa pekee, km wa pesa ambiance wamejazana
  5. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    mdogo ndo haiingii?
  6. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    km unajiamini ni mzuri wa sura na tabia nicheck tu tutaangalia namna ila wa dar wana added advantage
  7. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    mbona sijaona hyo text? Basi beep nitakupigia japo kubp kunapunguza heshima yako
  8. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    mpaka sasa ni wawili tu tena wa mikoani ambao hawana tofauti na ule usemi wa wazee wa zamani kuwa fimbo ya mbali
  9. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    Ningewaona nisingekuja huku
  10. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    Wa kunipa stress siwataki na mungu awaepushie mbaliiiiiii, nataka motto mzuri, mstaarabu na anayejua thamani ya penzi
  11. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    Ndo maana nikasema tukishakutana mambo mengine yataendelea, hayo mengine ni pamoja na hayo unayotaka, ww nitext au call tu I am waiting for you
  12. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    Msiajali jf ndo kila kitu,
  13. 2

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, Nina elimu safi ya chuo kikuu kutoka moja ya vyuo maarufu hapa nchini. Kwa sasa nafanya kazi katika taasisi moja ya kimataifa (USA based organization). Nishakuwa na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma ila mahusiano mengi yalivunjika kwa kuwa nilikuwa sana...
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu haya juu ya CHADEMA na KATIBA MCHAKATO WA KATIBA MPYA ANIJULISHE

    Mimi kwa sasa sielewi, hawa chadema wamejitoa au hawajajitoa? km hawajajitoa ni ugumu gani wanaoupata wa kutueleza wananchi ni nn haswa ni hatima yao juu ya huu mchakato? tumesikia jana warioba anaendelea kuunda mabaraza na wao wapo kimya. Hiyo kamati kuu tuliyoambiwa itakaa hatuisikii inakaa...
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Matokeo yaliyofutwa sasa kuzuiliwa Mahakamani

    Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya msingi itakapoamuliwa na...
Back
Top Bottom