Recent content by 2013

  1. 2013

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Kama umegundua kitu wote hao kasoro mmoja ni ngozi nyeupe. Wote hao ni wanachama hai wa secret society. Hawana akili kutuzidi ngozi nyeusi. Ila wanategemea viumbe... Wote hao wana rekodi za wizi na wako uraiani. Kama unadhani wanawakilisha dini. Pole sana. Amka usingizini
  2. 2013

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Matajiri wengi hawatokani na njia zilizonyooka za kumtegemea Mungu. Kuna utegemezi mkubwa sana we nguvu za Giza. Za majini.na uanachama wa Jamii za siri. Ambapo sadaka wwnatoa sana huko! Na Wakristo wanapoteza kwasababu hawatoi sadaka sana. Yaani hawamtegemei Mungu Bali nguvu zao!
  3. 2013

    JamiiForums Tanzania Wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuwavumilia Waislamu?

    Naamini upo sahihi. Nimeangalia India, Japan, waislamu hawatakiwi kabisa. Hua wanapata kipigo. Na wenyeji.
  4. 2013

    JamiiForums Tanzania Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

    Hii naona wanaiongea lakini naona pia Wana ahirisha mpaka baada ya uchaguzi mkuu wakisema ataongoza muda mfupi zaidi.
  5. 2013

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa taaluma katika vyombo vya habari vya dini

    Vipindi vingi vya Dini hususani vya Kikristo katika radio mbalimbali nchini vinaendeshwa na watangazaji ama wasemaji wasioweza kuzungumza lugha fasaha ya kiswahili. Inaonyesha hata wanao wasaili hawajui kama hawajui kiswahili Sanifu. Mfano, Unakuta mtangazani anatakiwa aseme Roho Mtakatifu...
  6. 2013

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Simu inavyotuibia Bando za Intaneti

    Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa. Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G. Lakini haujamaliza Dk 5...
  7. 2013

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Naomba link ya telegram ILIPO hii hadithi
  8. 2013

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Pindi lipo saa ngapi na siku Gani ili nami Nfuatulie?
  9. 2013

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Nilitamani link au unitumie Kitabu Cha soft
  10. 2013

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Nina Uhakika wewe ndio mwenye "likes" nyingi kwenye huu Uzi kuliko mwingine Umeongea Ukweli Mchungu na mistari Mikali sana [emoji16][emoji16][emoji16]
  11. 2013

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Airtel wamebuni wizi mpya wa kuuza vocha ambayo haijaanza kutumika

    Huu ni mtindo mpya ambao Airtel wamebuni ili kuwaibia wateja, tumezoea kuibiwa MB's zetu zinapunguzwa kiaina na wakati mwingine unapokea meseji kuwa bando limeisha hata kabla halijaisha au haujalitumia vizuri. Lakini sasa wamekuja na mbinu nyingine ya kuwaibia wateja kupitia kuwauzia "Tozo" ya...
  12. 2013

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Watanzania tunapenda kulazimisha Undugu?

    Well said. umegusa Kila upande.Sina Cha kuongeza.
  13. 2013

    JamiiForums Tanzania Imani ya Utawala kwa Mtiririko wa Tabia za Namba

    Nafikiria umepiga Hesabu zako vibaya. Awamu inayoendelea ni ya 5. Kwani kila awamu haipungui vipindi viwili vya uraisi. Awamu ya sita bado itaanza 2025.
  14. 2013

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Nyie ndio wasomi ambao mliapa kutokupiga kura na mpaka sasa hamkujiandikisha.
Back
Top Bottom