Recent content by 2011996bd

  1. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Msomi yeyote usikae bila kuwa na kadi ya CCM mfukoni

    Duh umenifungua macho kumbe ccm kigezo chao ni kutembea na kadi??!! Kwa staili hiyo mtajivua magamba kila kila siku Ila asante kwa ushauri.
  2. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayopatikana Tanzania tu!

    CV ni baada ya kupata kazi
  3. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nusu ya Wakurugenzi wateule kuenguliwa

    Huku ni kupoteza muda. Kwann wacngeangalia hizo CV kabla ya kuwateua
  4. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Nimependa utangazaji wa Khadija Mzee wa JamiiForums News

    Good. Ila inapatikanaje?
  5. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania KUNA WA2 WACHOYO SIJAPATA ONA

    Kuna jamaa rafiki yangu nilimtembelea kwake nikamkuta amebanika maji ya kusongea ugali yana chenka pembebi kuna unga na mwiko alivyoniona uwezi amini aliyapooza Yale maji akaenda kuyaoga.....
  6. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani wachangamane na wale wa CCM ili kuondoa mpasuko ndani ya bunge

    Nimekupata sana mkuu
  7. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba za bei nafuu zinauzwa

    Na ukishanunua kwenye Mali wanatia timu
  8. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba za bei nafuu zinauzwa

    Kuna jamaa aliuziwa nyumba na akatia sain mkataba baadaye akaanza kutozwa kodi ya kiwanja
  9. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima akamatwa Uwanja wa Ndege wa Dar

    Picha plz
  10. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima akamatwa Uwanja wa Ndege wa Dar

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12]
  11. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba za bei nafuu zinauzwa

    Nyumba yenyewe au pamoja na kiwanja
  12. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Inaonyesha cku kama ya Leo ulichunwa na she kwenye sura ngumu kama goti la mbuzi.
  13. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mwanafunzi Mchawi (A Wizard Student)

    We babu mbona unaitoa kimawazo sana
  14. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani wachangamane na wale wa CCM ili kuondoa mpasuko ndani ya bunge

    Asante mkuu. Japo cjamaanisha wawe pamoja kwa maana ya kuwa chama kumoja ila lengo langu ni kuondoa ubiashi na hoja zicizo na tija bungeni. Kwa mfano kuna upande hawawezi kupinga kile kinacholetwa bungen, naona kwa njia hii at least hili litapungua
  15. 2011996bd

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani wachangamane na wale wa CCM ili kuondoa mpasuko ndani ya bunge

    Ni wazo zuri pia lakini huoni kwamba wakijitenga hivyo ndo chanzo cha kulindana?
Back
Top Bottom