House4Sale Nyumba za bei nafuu zinauzwa

R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,283
5,361
Nyumba za bei nafuu zinauzwa maeneo ya Mbagala Chamazi. Bei inaazia 20M mpaka 45M. Ni umbali wa 2Km kutoka barabara kuu ya kuelekea Azam complex. Gari inafika mpaka eneo la nyumba Umeme, Maji vipo.
Nyumba zinatofautiana ukubwa kuna zenye vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bed room.Pia kuna za vyumba sita.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0765838429
0653838429
 
Attachments

  • 20160710_180204[1].jpg
    20160710_180204[1].jpg
    187.3 KB · Views: 110
  • 20160710_180627[1].jpg
    20160710_180627[1].jpg
    136.6 KB · Views: 105
  • 20160710_180655[1].jpg
    20160710_180655[1].jpg
    135.9 KB · Views: 149
  • 20160710_180719[1].jpg
    20160710_180719[1].jpg
    144.6 KB · Views: 125
  • 20160710_180825[1].jpg
    20160710_180825[1].jpg
    106.4 KB · Views: 141
  • 20160710_181808[1].jpg
    20160710_181808[1].jpg
    124 KB · Views: 102
Kuweni makini na nyumba za Chamazi,hizo ni nyumba biscuit kuanzia floor,ukuta mpaka paa. Mashahidi wazuri wa hili ni wale watu waliohamishwa kurasini wengi walinunua nyumba kama hizi Chamazi akiwepo ndugu yangu kilichowakuta wanalia mpaka leo.
 
Style hii ni almaarufu kwa jina la ''JENGA UZA'' unapigwa unaona. Jamaa anakwambia kuna mtun alichukua mkopo mahali kashindwa kulipa sasa kaona auze mwenyewe kabla wakopeshaji hawajaja kuiuza.Au mwenyewe kapata uhamisho wa ghafla, kaamua kuiza. Ni rahisi kuamini kwa vile unaona ni semi finished house...kumbe hiyo yote ni gia tu uingie ''kingi''
Kuna jamaa aliuziwa nyumba na akatia sain mkataba baadaye akaanza kutozwa kodi ya kiwanja
 
Style hii ni almaarufu kwa jina la ''JENGA UZA'' unapigwa unaona. Jamaa anakwambia kuna mtun alichukua mkopo mahali kashindwa kulipa sasa kaona auze mwenyewe kabla wakopeshaji hawajaja kuiuza.Au mwenyewe kapata uhamisho wa ghafla, kaamua kuiza. Ni rahisi kuamini kwa vile unaona ni semi finished house...kumbe hiyo yote ni gia tu uingie ''kingi''
Mkuu huu ni mradi kama ilivyo miradi ya NSSF na mengineyo so kama haujaridhishwa unaweza kukaa kimya tu kuliko kuharibu biashara za watu. Unakuja unakagua nyumba kabla ya kufanya lolote.
 
Na ukishanunua kwenye Mali wanatia timu
 
Mkuu huu ni mradi kama ilivyo miradi ya NSSF na mengineyo so kama haujaridhishwa unaweza kukaa kimya tu kuliko kuharibu biashara za watu. Unakuja unakagua nyumba kabla ya kufanya lolote.
Wewe ni mkweli sana. Kwa jibu lako hili nimeamini wewe kweli unafanya mradi sio sana na wengine ambao hudaganya ili kutokumpa mteja nafasi ya kuchunguza vizuri. Big up mkuu, no any harm intended
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom