Recent content by 1stbravetai

  1. 1

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Du!! Ila huyo mzee aliyeshuka kweli ana bahati na kikubwa zaidi MUNGU AMEAMUA KUMWEPUSHA NA HIYO AJALI. INABIDI ATOE SHUKURANI KWA IMANI YAKE ANAYOIAMINI. Nakubaliana na sababu ya ubaya wa barabara wa sehemu hiyo, ila pia na hiyo speed ya kanyaga twende pia nayo imechangia . Ukiwa kwenye...
  2. 1

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Unaona sasa, kumbe ni mabasi yanayojulikana wazi kwa huo mwendo kasi wao mpaka wamepewa hiyo nickname ya "kanyaga twende". Sasa wameua watu wasio na hatia kwa hiyo kanyaga twende yako.
  3. 1

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Mwendo kasi unaua jamani, Lakin baadhi ya midereva uwa haisikiii wala haielewi inapoambiwa, huku ikishabikiwa na baadhi ya miabiria isiyojielewa na kujikatia tamaa ya kuishi. NIAMINIVYO NI KUWA MTU ANAYEJIELEWA NA KUTHAMINI UHAI WAKE KAMWE HAWEZI KUSHABIKIA MWENDO KASI. Nakubali hapo pana...
  4. 1

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Inasikitisha sana, mpaka muda huu waliothibishwa kupona /kutoka Hai na watu Wanne(4) tu . Eeeh Mungu wangu wapumzishe kwa amani marehemu wote. Na hao waliobahatika kupona uwape faraja ya kipekee ya kimwili,kiakili na kiroho. Hizi ajali zinazidi kuongeza yatima, umasikini kwenye jamii yetu...
  5. 1

    Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    Ha ha ha ha Hili nalo neno.......
  6. 1

    Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    Je wewe binafsi unamwamini kiasi gani?, mtakapokuwa ndoani ,na ikatokea akachelewa kuwa na kipato chake, je upo tayari kuihudumia family yako 100% huku ukiendelea kumpenda na kumheshimu kama mumeo???.
  7. 1

    Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

    Nakubaliana na KHANTWE....huu utafiti umeongezwa chumvi nyingi......unapokuwa hautaki kushiriki hizo ngono, hakikisha unashiriki sana michezo kama vile mpira,kukimbia au aina yoyote ya michezo/mazoezi. Utakuwa sawa,kuwa busy na mambo ya maana na muhimu pia.MBONA MAPADRI NA WATAWA WANAISHI SAWA...
Back
Top Bottom