Nakaa maeneo ya mkolani,hapo palipotokea mauaji kuna misikit miwili,wavaa vipedo na waislam wa kawaida,n ka story karefu kidogo,ila waliouwawa n waislam wakawaida,na waliuwawa wakiwa wanasali sala ya saa 2,waliwaambia wazime taa,
Beatrice baada ya kufulia alirud kwaya,kwa wapenzi wa shangilien..beatrice anaonekana katika albam 3,anaonekana ktk albam yoote ya shangulien part 2,anaonekana ktk baadhi ya nyimbo kwenye albam ya daud,na nisamehe wimbo wa mwisho.
Alivyotoka kujifungua akamkuta da huu(aliyemuachia kipindi)kapewa jumla,dina akaambiwa asubir atapewa kipindi kingine,alkaa clouds muda bila kutangaza,zamarad akaunga ushoga na da huu,dina akaona ajiengue..
Hapo kwa dina n uongo,na usimchafue mdada wa watu aisee,dina hajawah kuwa na mauhusiano na ruge kabisa,kama hujui kitu bora uulize,dina alkua natoka na reuben ndege na ndo mzazi mwenzie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.