Recent content by 19don

  1. 1

    JamiiForums Tanzania Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

    Yesu kwa kiarabu ni yeshua sio issa
  2. 1

    JamiiForums Tanzania TV card

    Wadau natafuta tv card pichani ya Sony Bravia 42" Sent using Jamii Forums mobile app
  3. 1

    JamiiForums Tanzania Kati ya kalenda na biblia kipi kilitangulia?

    Kalenda ya kiswahili yaani mosi ni 1 Pili ni 2 lkn mwisho ni 5 alhamis nayo ni 6 kwa kihehe labda na ijumaa ni 7 kwa kizaramo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kurecord incoming call Samsung GT19152

    asante mdau nimejalibu imekubali na inafanyakazi
  5. 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kurecord incoming call Samsung GT19152

    Wadau, Naomba msaada jinsi ya kurecord incoming call kwenye simu yangu kuna raia ameamua kufungua mazoezi ya matusi najaribu kumuonyesha kuwa mlengwa sio mimi. Lakini bado anayaporomosha tu nahitaji msaada huo ili niweze kuchukua hatua za kumshitaki japo niwe na ushahidi wa kuanzia kampuni...
  6. 1

    JamiiForums Tanzania Nauza simu zangu 2

    kabla ya kuuzina hivi vimeo tuangalie kwanza TCRA *#06# sms kwenda 15090 au tcra website IMEI Code VerificationHow to verify the IMEI Code of your mobile device Instructions: Please follow the steps below in order to verify the IMEI Code of your mobile device Dial *#06# on your mobile...
  7. 1

    JamiiForums Tanzania Nauza simu zangu 2

    Enter IMEI Code: IMEI VERIFICATION RESULTS IMEI Code : 35............... Phone Model : LG LG-D802 Manufactured by : LG Electronics Inc. Frequency Bands : GSM 1800, GSM 1900, GSM 900, GSM850 (GSM800), HSDPA, HSUPA, LTE FDD BAND 1, LTE FDD BAND 20, LTE FDD BAND 3, LTE FDD BAND 7...
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    KAB
  9. 1

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    KAB
  10. 1

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Enter IMEI Code: IMEI VERIFICATION RESULTS IMEI Code : ....................... Phone Model : LG LG-D802 Manufactured by : LG Electronics Inc. Frequency Bands : GSM 1800, GSM 1900, GSM 900, GSM850 (GSM800), HSDPA, HSUPA, LTE FDD BAND 1, LTE FDD BAND 20, LTE FDD BAND 3, LTE FDD...
  11. 1

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu ofisi ya mtendaji Kata Majohe Kichangani na maafisa wa Halmashauri ya Ilala

    Wadau, Ofisa mtendaji wa Majohe akishilikiana na baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Ilala, walikuwa wakiendesha zoezi la ukusanyaji wa kodi za majengo, kwa wakazi wa majohe kwa vipindi vya 2013/2014 na 2014/2015. Walikuwa wakiwalipisha wakazi wa Majohe kiasi cha kuanzia 65,000 hadi 125,000...
  12. 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    kwa kuto kufikili kwako umetuondolea mwalimu wetu mwanajeshi wetu daktari wetu mkulima wetu dereva wetu hadi malaya wetu hukujua Mwenyezi Mungu alimpangia awe nani hapa duniani umeamua kutoa hapa duniani kwa ajili ya huyo x wako mpuuzi, aah Rip mimba
  13. 1

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Wadau, amani iwe kwenu. Inaonekana ama Kubenea hajui majukumu yake ama anatafuta umaarufu katika mambo ambayo hana uwezo nayo. Tangu achaguliwe kuwa mbunge, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amekuwa kituko nje na ndani ya bunge. Ndani ya Bunge, Saed Kubenea anaonekana mtu wa jazba, chuki, husda...
  14. 1

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa yavaa fukwe za Mbezi Beach; Kuacha kilio kwa matajiri wavunja sheria!

    ile malaika ya mwanza nadhani ipo mita 2 tu daah wakivunja ile golden tulip
  15. 1

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    mdau mtoa post anasema amechukua fomu ya unaibu spika sio spika
Back
Top Bottom