Recent content by 1321

  1. 1321

    Nitabadilisha wanawake hadi nipate asiyeomba pesa kila siku

    Hulijui ulisemalo na hulijui ulitendalo. Pole. Ila kwa point zako na lugha unayoitumia hapa inaonyesha umepevuka karibuni ndo maana bado una mambo ya kitoto
  2. 1321

    Nitabadilisha wanawake hadi nipate asiyeomba pesa kila siku

    Unataka uwagegede tu. Upate raha weeeeeeee Ila kuilipia hiyo raha unakua na mkono Wa birika. Ngoja umpate huyo asiye omba pesa ovyo ili msaidiane kumgegeda na wanaojua kutunza. Kenge kweli wewe.
  3. 1321

    Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Piga chini. Keshaingiliwa na mdudu washa huyo. Hakufai tena asije akakuua kwa stress bure!!!!!!!!!!!
  4. 1321

    Maumivu ya mapenzi

    Salumu waliy Akufukuzaye hakwambii toka. Kua na akili ya kujiongeza weweeee
  5. 1321

    Hizi promo nyingine, eti Diamond kalipwa pesa nyingi na BET!

    mimihapauk Acha ubishi usio na evidence. Tatizo umezoea uswahili wa Tv za kibongo bongo bila kujua mambo yanavyoendeshwa kwenye Tv za wenzetu walioendelea
  6. 1321

    Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

    Dah hiyo kali mkuu. Maana kila uzi unaoutoa hua unaniacha hoi sanaaaa. Nimetafakari nikaona nikuulize tu hilo swali.
  7. 1321

    Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

    Nimeuliza tu Mkuu. Naomba unijibu tu.
  8. 1321

    Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

    We Dada hivi umeolewa wewe lakini??
  9. 1321

    Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

    Nilichokimaanisha mm usipoteze muda kumchunga. If you don't trust her then leave her. Full stop.
  10. 1321

    Nahitaji ushuhuda kuhusu kufanikiwa kuongeza uume

    Ha ha ha tuonane nikugegede kidogo ndo utajua kama nina kibamia au sina. Ila kwa sasa hivi sina jibu la kukujibu. Kumbuka Action speaks louder than words.
  11. 1321

    Nahitaji ushuhuda kuhusu kufanikiwa kuongeza uume

    Shemeji yetu ana kibamia nn? half naskia mtu mwenye kibamia wakt Wa kugegedana mwanamke ukikohoa tu kinatoka. Hivi ni kweli eeeee
  12. 1321

    Naomba Msaada wa kuspy message za whatsapp

    Sawa unajua impact ya unachokitaka lkn kisa cha kujipotezea muda kumchunga binadamu mwenzio ni nn? au unahisi binadamu anachungika?
  13. 1321

    Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

    Yupo I.C.U kwenye life support machine.
Back
Top Bottom