Wakuu naombeni msaada wenu wa sheria ya arthi kwani kuna wataalamu wengu humu wa sheria.
Ni habari refu ila nafupisha sisi watoto tulikuwa wadogo na tuliishi kijijini na familia kutokana na hali ya maisha kipindi hicho 1996 mzee alishindwana na Mama akabadilika vibaya akaanza kuleta unyayasaji...
Naombeni mawazo yenu ya kitaalamu wakuu kuna dogo hapa alimaliza form four mwaka 2017 alifaulu akiwa na three ya point 24 sasa anahofia akipangiwa advance atapelekwa arts mawazo ya wadau wengi wanamshauri aende college ya afya tatizo kuu yeye hakuchukua physics lakin alisoma chemistry anaweza...
Unakuta wote hawajaoga kwa hiyo sio wanaume wachafu bali wote ni wachafu so hakuna cha ajabu sana ndo hali ilivo kisafi lazima kijitenge kichafu kitajitangaza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.