Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka mda huu...niseme kuwa Sir. Jeff tunashukuru sana kwa moyo wako wa busara na usio na uchoyo katika kutufungua macho katika elimu hii ya soko la Dunia , forex ...mimi nilianza nawe since day one nasoma kila kitu unachaposti japo sio mchangiaji...
Kweli Lazima Mtu ufurahi na kutabasamu kwani unaona kabisa wapi unaelekea baada ya miezi kadhaa au mwaka wa hard working.......Stay Blessed Mkuu Ontario
Hatua nzuri sana mkuu Ontario na hongera kwa ku 'bypass obstacles' zote ulizo kutana nazo, tunaendelea kupata elimu ya vitabu huku tukisubiri 'batches' za mafunzo zianze ili watu wapate wasaa wa kujifunza ili kufanikisha hii safari ya kuwa free kiuchumi katika hii bahari kubwa yenye kutumia...
Asante sana mkuu kwa elimu yako nzuri sana katika kusaidiana kupunguza makali ya makato yanatokana na ugumu wa benki zetu na utaratibu kwa ujumla wa nchi zetu na bara la africa kwa ujumla, Niendelee kutoa shukhrani kwa mkuu/ Mhenga Ontario kwa kazi aliyofanya mpaka sasa Tanzania Imeamka kupitia...
Ila wewe Mberoya ushukuru unakuzwa jina kwa 'reply' wanazo fanya watu na hii sio sawa maana unatafuta kiki kwenye 'page' ya mtu mwingine ungefungua yako , huwezi kuwa unatoa ushauri hasi wakati wote, toka mwanzo wewe na 'forex' ni 'scam' or kutapeliwa n.k, wewe sio bure yawezekana unafanya...
Mkuu nimefanya kosa gani?? Maana uzi huu ni mfupi tu!! Je umeiona hii yangu tu kati trend zooote???...mie nadhani let focus kwenye main issue tusimind vitu vidogo vidogo...kama nimekosea niambie umekosea hiki let move on
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.