Mbona NHIF mnatoa majina nusu nusu?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,878
15,457
Hamjatoa majina ya kada za membership officer na compliance,tuoni majina yetu bana hata kama tumepata zero wote maana ni haki yetu.
 
hivi interview ni lini na wanaotakiwa kwenda kwenye hiyo interview ni waliopata kuanzia marks ngapi?
 
Hamjatoa majina ya kada za membership officer na compliance,tuoni majina yetu bana hata kama tumepata zero wote maana ni haki yetu.
Mbona wameshatoa majibu tangu jana trhe 02/06 angalien kwenye tovut yao
 
Subir mkuu,subira yavuta kheri
Ngoja tuwe wavumilivu maana ilikua kila siku tunafungua mtandao, jana nikafungua nikaona kale kalink ka Career kanagoma, nikasema inshallah mambo tayar.. kama tumengoja miezi yote hii sio mbaya kungoja muda mfupi huu uliobak
 
Uliaply fan gan mkuu?Compliance au Claim Officer?Field operation officer
 
Ngoja tuwe wavumilivu maana ilikua kila siku tunafungua mtandao, jana nikafungua nikaona kale kalink ka Career kanagoma, nikasema inshallah mambo tayar.. kama tumengoja miezi yote hii sio mbaya kungoja muda mfupi huu uliobak
huu uvumilivu wa watanzania ndio umelifikisha hili taifa hapa lilipo..hawa dawa yao ni kuwashtaki tu kwa mtumbua majipu.
 
Hamjatoa majina ya kada za membership officer na compliance,tuoni majina yetu bana hata kama tumepata zero wote maana ni haki yetu.
Halaf hawajatoa tarehe rasm ya oral na pia waliofaulu ni kwanzia maksi ngap
 
Back
Top Bottom