Recent content by 10mil

  1. 10mil

    Wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya kiwanja

    Kiwanja kipo mvuti kwa mbele. Ndiyo kina hati ♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
  2. 10mil

    Wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya kiwanja

    Wakuu,ni wapi naweza kupata mkopo kwa kuweka kiwanja kama dhamana,naomba mwenye kufahamu anijuze. ♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
  3. 10mil

    Kwanini Samwel Eto'o amepewa sana heshima AFCON

    Wakuu huyu jamaa mwanzo mwisho amekuwa jukwaa la VIP,tena kiti special ,hata ile kombe ndo alileta mezani,kwanini huyu jamaa kachaguliwa kuliko wachezaji wote waliopita au kuliko wote waliostaafu?
  4. 10mil

    Kingwangala waziri bora awamu hii!

    Wakuu kwa mawaziri wa awamu hii nadiriki kusema waziri wa mali asili na utalii ni wazuri anayeonekana anajua anachokifanya,tangu aingie kwenye hiyo wizara ametulia vizuri na amekuwa mchapakazi. Kila mda yupo kazini,hakuna siku hutamwona akiwa kazini kwenye mbuga na sehemu zingine zinazohusu...
  5. 10mil

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Hata Algeria basi ana kazi
  6. 10mil

    Sheria ya kelele: NEMC yatangaza rasmi kiama kwa wachafuzi wa kelele kwenye makazi ya watu

    KELELE KULIPIWA MIL.10 KWA MWAKA. Serikali kupitia Mamlaka ya usimamizi wa mazingira (NEMC) imetangaza kuanza kutoza kodi ya shilingi milioni 10 kwenye maeneo yote yanayozalisha kelele kwenye makazi ya watu ili kudhibiti uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na kelele hizo (Noise pollution). _...
  7. 10mil

    Nandy acha ushamba, Bukoba na Passport?

    Passport ina shida gani,sometimes unaweza uka misplace kitambulisho halafu ukachukua passport,passport ni kama kitambulisho tu.
  8. 10mil

    Watanzania tuoe Kenya hamna wanawake Tz

    Hao ndo mashemeji sasa
  9. 10mil

    Watanzania tuoe Kenya hamna wanawake Tz

    Na sasa hivi tunavyoshobokewa na wanawake wa kenya kazi mnayo
  10. 10mil

    Simba yaongeza mbrazil wa tatu

    Hujakna Hujaona hata kiwango cha mtu aikicheza,unaleta conclusion,Yanga mna akili kama za vyura
  11. 10mil

    Watanzania tuoe Kenya hamna wanawake Tz

    Pamoja,tuoe Kenya
  12. 10mil

    Watanzania tuoe Kenya hamna wanawake Tz

    Mapenzi ya wanawake wengi wa Tanzania ni kudanga tu,atapataje hela toka kwa mwanaume ,wengi wana akili za nyumbu. Wanawake wa kenya wapambanaji,watz tuoe Kenya
Back
Top Bottom