Simba ilifika robo fainali ya ACL, South Africa ni timu moja tu iliyofika hatua hiyo. Sasa maajabu ya ligi ya South Africa ni yapi?South Africa unafananisha na TPL?tuwe serious
Simba ilifika robo fainali ya ACL, South Africa ni timu moja tu iliyofika hatua hiyo. Sasa maajabu ya ligi ya South Africa ni yapi?South Africa unafananisha na TPL?tuwe serious
TPL usiichukulie pouwa pamoja na vitimbwi vyote ila ndo ivo kwa viwango vya ubora wa clubs na league tupo nafasi ya 12.South Africa unafananisha na TPL?tuwe serious
Wablazil wapo 2 moja uruguyiNyi watoto mna shida gani..mamerod ndiyo kitu gani
Sisi bado sana,tunaishi kwa miujiza tu kama tulivyofuzu AfconTPL usiichukulie pouwa pamoja na vitimbwi vyote ila ndo ivo kwa viwango vya ubora wa clubs na league tupo nafasi ya 12.
Tusijizalau kiasi icho
Sisi tunapeleka team 4 CAF na wao team 4
Wao wametuzidi uwekazaji tu wa pesa
League yao inapesa nyingi kuliko sisi
kama ndivo hivo unavyofikiri basi sawa mkuuSisi bado sana,tunaishi kwa miujiza tu kama tulivyofuzu Afcon
We ndo ulienda kumpokea airport?Yaani amekuja leoleo na kusaini mkataba bila hata ya kuwa na mwanasheria ....hakuna mchezaji hapo
Hongera kwa Simba Sport Club pamoja na muhindi maana msimu wa matikiti umekaribiaTuwape mda wachezaji wetu!
Mmeanza kuweweseka mapema sanaHongera kwa Simba Sport Club pamoja na muhindi maana msimu wa matikiti umekaribia
Mimi navionea huruma viti na koki za uwanja kwa mkapa maana ya siku zilee punde yanarejea ni suala LA muda tu.Mmeanza kuweweseka mapema sana
Tulieni dawa iwaingie
Tatizo wakisikia Brazil wanahisi kila mtu anakipaji cha kucheza mpira
Yaani amekuja leoleo na kusaini mkataba bila hata ya kuwa na mwanasheria ....hakuna mchezaji hapo
Hujaona hata kiwango cha mtu aikicheza,unaleta conclusion,Yanga mna akili kama za vyuramizigo ya mavi hiyo
shangaa ya musa hapo hata vipimo hajafanyiwaYaani amekuja leoleo na kusaini mkataba bila hata ya kuwa na mwanasheria ....hakuna mchezaji hapo
Mamelod Sundowns wamesajili waAmerika kibao na wanafanya poa Sana Kwa championshipHivi vilabu vinavyofanya vizuri africa vimesajili wachezaji kutoka America?
Mamerod Sundowns inao wachezaji watatu kutoka Brazil na wako vizuri sana.
Mamelod Sundowns wamesajili waAmerika kibao na wanafanya poa Sana Kwa championship