Recent content by 0909h

  1. 0909h

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kauli ya Kishamba mno aliyotoa Chalamila, kuwa tarehe 24, majeshi yetu yote yatakuwa yanafanya usafi jijini!

    Aliyekwambia USAFI unaingiliana na MAANDAMANO YA CHADEMA ni nani? Wao si waendelee na maandamano yao wakati usafi unafanyika Shida iko wap? ACHA UOGA MIMI NIPO NA MAJESHI YETU KUFANYA USAFI
  2. 0909h

    JamiiForums Tanzania TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

    Kulipa Kodi ni fahari kwa Nchi yako. Acha vijana walipe kodi. Barabara zinajengwa, Reli ya SGR inajengwa, Mifumo ya Maji inajengwa Shule za Msingi, sekondari vituo vya Afya n.k Ongeza vya kwako ktk list
  3. 0909h

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Kuchangia shughuli za maendeleo kimsingi ni Hiyari na Hakuna sheria ya Kumlazimisha mtumishi wa Umma au yoyote kuchangia Kwa Kiongozi yoyote (Mfano huyu Mwl Mkuu) unapokuwa mbele ya hadhara kutotamka kitu cha kuchangia au kutamka maneno Mfano SINA, SICHANGII na mengineyo ni utovu wa Nidhamu kwa...
  4. 0909h

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Yupo sahihi Kisiasa Unapokuwa katika event kama hiyo unatamka chochote hata kama huna mpango wa kutoa chochote
  5. 0909h

    JamiiForums Tanzania Uhuru Day: Ni takwa la kitaifa au mtu binafsi?

    Mi nadhani Mh. Rais afute tu sherehe hizo ni matumizi mabaya ya fedha za kodi.... Watakolalamika ni wale wanaolipwa Posho kwenye sherehe hizo NB: Sherehe hizo ziwepo kwenye Kalenda tu inatosha kwa kumbukumbu
  6. 0909h

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

    Innalillah wainaiillah rajuun R. I. P Prof.
  7. 0909h

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Kama kuna wakati najisikia raha kuwa Mtanzania hakika ni sasa Mzee Mwinyi, Magufuli tutampa mitano tena ya Ahsante Hadi wanyooke hawa wanaotawaliwa na MABEBERU
  8. 0909h

    JamiiForums Tanzania Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

    Muombe msamaha Mungu ... Marehemu hawezi kukusamehe chochote Lakini kujitoa uhai kwa namna yoyote ile ni Madhambi makubwa na utaishia Motoni
  9. 0909h

    JamiiForums Tanzania Hivi COVID19 USA imeisha

    US kuna kitu walikuwa wanakitafuta wamekipata huko Kenya Mazuzu haya ya Afrika wanajifanya wasomi Kila kitu wanaiga
  10. 0909h

    JamiiForums Tanzania Kama unafikiri umepatwa na mitihani mikubwa hebu mfikirie mwanafunzi huyu

    Inna lillah wainaillah rajuun.....hakika sisi wote ni wa Allah Allah hatupi Mitihani ila tunayoiweza Mungu ampe nguvu zenye kukabiliana na Mtihani huu mkubwa
  11. 0909h

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mhadhiri wa Chuo Kikuu na Mwandishi wa vitabu Dominic Thabit Msabila afariki dunia

    R.i.p. Km hujapita skuli hata kidogo...huwezi elewa how Important he was Your thoughts will remain forever
  12. 0909h

    JamiiForums Tanzania Takribani wanafunzi 1,129 wame-disco UDSM na wengine zaidi ya 7,000 wanatakiwa kurudia mitihani yao

    Usippanic SUA walishazoea mambo hayo komaeni mlishazoea lelemama.....
  13. 0909h

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Azam TV waanza kurejesha local channels free

    Hauna king'amuzi......
  14. 0909h

    JamiiForums Tanzania Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Iringa kuna wahehe... Waweze kujinyonga kwa kujirusha
Back
Top Bottom