Uhuru Day: Ni takwa la kitaifa au mtu binafsi?

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
4,476
11,026
Naomba kuuliza wakubwa zangu GT,

Siku ya kusheherekea uhuru wetu 9 Dec, kila mwaka ni takwa la kitaifa au takwa la mtu binafsi kwa maslahi ya taifa au kwa maslahi ya mtu binafsi?

El perdode
 
Kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 50 hadi kuwa na mbunge mmoja alafu bado yanashangilia tu eti chama kiko imara.
 
Kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 50 hadi kuwa na mbunge mmoja alafu bado yanashangilia tu eti chama kiko imara.
Unajaribu kuvuruga mjadala makusudi. Hii sio sawa jaribu kuwa muungwana.
 
Kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 50 hadi kuwa na mbunge mmoja alafu bado yanashangilia tu eti chama kiko imara.
Ndugu shirikisha ubongo basi angalau hata kidogo,hata kama hujui kusoma tazama hata picha basi! Ukifanya hivyo utajua kwa nini chadema wamepata mbunge mmoja. Anza na hii " nikupe ukurugenzi nikupe gari, halafu utangaze mpinzani kashinda nhiiiii!!!!
 
Wanadai wanabana bajet baada ya kutumia ML900 kwenye sharehe zio wanajenga hospital
 
Kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 50 hadi kuwa na mbunge mmoja alafu bado yanashangilia tu eti chama kiko imara.
Ule haukuwa uchaguzi bali uchafuzi wa demokrasia!
 
Attachments

  • 098765.jpg
    098765.jpg
    45.9 KB · Views: 1
  • 12460.jpg
    12460.jpg
    66.8 KB · Views: 1
  • 709081.jpg
    709081.jpg
    76 KB · Views: 1
Uhuru day! Kheri tungeendelea kutawaliwa na beberu kwani hawakututendea haya tenayotendewa sasa, ila kwa wazaliwa wa baada ya Uhuru wanaaminishwa mabeberu walikuwa wakatili!
 
Mi nadhani Mh. Rais afute tu sherehe hizo ni matumizi mabaya ya fedha za kodi.... Watakolalamika ni wale wanaolipwa Posho kwenye sherehe hizo
NB: Sherehe hizo ziwepo kwenye Kalenda tu inatosha kwa kumbukumbu
 
Naomba kuuliza wakubwa zangu GT,

Siku ya kusheherekea uhuru wetu 9 Dec, kila mwaka ni takwa la kitaifa au takwa la mtu binafsi kwa maslahi ya taifa au kwa maslahi ya mtu binafsi?

El perdode
Mimi sina uhakika sana kwa sababu mambo haya yana-involve na sheria kidogo ila nadhani Katiba ya JMT inayo provison hiyo inayomruhusu Rais kufanya mabadiliko kama haya. Nilicho na uhakika nacho zaidi ni kuwa sherehe hizi ni takwa la Katiba ya JMT.

Hata hivyo mimi ningependelea kuwa tuwe tuazifanbya kwa kuruka mwaka mmoja, mwaka ambao zinakuwa hazipo pesa yake tunaitumia kwa jambo jingine. Uhuru ni maendeleo pia, na si sherehe tu za watu kukusanyika uwanjani
 
Watu wamebanwa hadi wanatamani allowance za kuandaa sherehe za uhuru, Yesu alisema toshekeni na mishahara yenu.
 
Back
Top Bottom