Sito sahau pale nilipotokea kumpenda dada mmoja siku tu alionipa promise ya kukutanaye kimajojo ni kampa mimba hadi sasa naitwa baba sito sahau kamwe katika maisha yangu
Zitto amekosa pakuongelea maana magufuli amewabana kila kona wapinzani wake so sasa magufuli ndiye baba wataifa hawezi kulipa kodi bali ndiye anaye simamia nchi labda watafute tatizo lingine linalo husiana na hunduma za serikali
Mungu mubariki Pombe Joseph Magufuli katika kutunbua majipu yaliyo komaa kama na Mbowe yumo naomba atumbuliwe walisema mabadiliko yamepatika sasa wanayapiga kunawatu wakitumbuliwa nchi itakuwa nzuri sana ningekuwa na nafasi yauongozi UKAWA Mbowe tunge mtoa kuwa mwemyekiti maana kiongozi mkumbwa...
Kwa kwel mapenzi huwa niya moto moto pale awali cjui nikwasababu ipi baada ya hapo kila mmoja anakuwa tofauti hiyo maranyingi nipale mnapokuwa honeymoon /couples mapenzi huzindisha utamuwake hadi kama mnaenda kazini mnakuwa latecomes .Baada ya kuzoeana mwanamke anapunguza hisia kwa mwezi wake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.