Recent content by 0653400400

  1. 0653400400

    Siku hizi kigezo cha uwepo wa 'chura' kwa mwanamke kinafunika kile cha elimu katika kuchagua mwenza

    Siku hizi wanaume hata kama wanaoa,lakini lengo la kuoa halitimii kikamilifu"Ndoa maana yake ni utulivu na kuondoa nyege kwa mwanaume pia hata mwanamke. Mwanaume ana haki zaidi kwa kuwa,kakulipia MAHALI na hujatoa chochote...kwa hiyo mume kwa kipengele hicho ana haki zaidi kwa mwanamke. Na...
  2. 0653400400

    Windos tv box vs Android TV box

    Mi zinazopatikana Kama Mlimani city au jumia zinaweza zikawa za uhakika yaani maalum kwa android au nazo ni magumashi... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. 0653400400

    Ubora wa tv za Star-X

    Chief, nitawezaje kujua Mi TV box maalum kwa ajili ya android TV. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. 0653400400

    Naomba msaada jinsi ya Ku block simu iliyoibiwa

    Nenda police na imei namba,simple tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. 0653400400

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante bro,ule wa jump jump vipi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. 0653400400

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo za salehe jabiri. Opp Jump Na nyingine ambazo nimezisahau,mwenye nazo anisaidie jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. 0653400400

    Ubora wa tv za Star-X

    Mi box Sent using Jamii Forums mobile app
  8. 0653400400

    Ubora wa tv za Star-X

    Hapa ndipo ninapochanganyikiwa,kuna zile screen zinakuwa Quality yake utadhani kioo kimepakwa mafuta hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. 0653400400

    Ubora wa tv za Star-X

    Hapa dar-es salaam zinapatikana hizi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. 0653400400

    Ubora wa tv za Star-X

    Mimi nahitaji tu TV box ya kawaida ambayo naweza kupata app kama azam na kuistall baadhi ya app nichek,ila sijajua iliyo bora na rahisi kupata ni IPI,pia nipe ubora wa Mi box Sent using Jamii Forums mobile app
  11. 0653400400

    Naweza kutumia dish moja la azam au dstv kuweka ving'amuzi viwili?

    Shukrani sana,ila kuna jambo linanichanganya sana,kuwa na Mi box na kuwa na kile kiflash cha android box(amazon stick) hapa mzuli ni ipi maana kuna baadhi zinaitwa amazon na hiyo Mi box... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. 0653400400

    Android Tv Box......

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. 0653400400

    ANDROID BOX TV

    3g vipi haiwezi kutembea? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. 0653400400

    Naweza kutumia dish moja la azam au dstv kuweka ving'amuzi viwili?

    Hivi mkuu kuna android box yoyote yenye FTA ?ambayo kwayo naweza download app pia kuona hizo FTA...? Pia kama TV yako si quality kuna kifaa chochote unaweza Fanya TV ikawa quality?au ni ubora wa kioo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom