Windos tv box vs Android TV box

mbinde

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
801
651
Habari wadau kama kichwa Cha habari hapo juu kipi ni Bora kuzidi mwenzake
Msaada wenu please.
 
mkuu windows ndio bora zaidi sababu utapata mambo yote, kwenye windows utapata kodi (x86) ambayo ni nzuri zaidi kushinda kodi ya arm, kuna mambo ambayo kwenye arm huwezi fanya, kwenye windows utacheza real games, uta emulate android kama unaihitaji nk

sema box za windows bei ni kubwa na ukikuta bei ndogo basi litakuwa ni box la atom ambalo halina nguvu.

ila mwisho wa siku ni matumizi yako, unataka nini
 
Nawexa pata kwa sh ngapi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni kupata kitu ya uhakika ni kutupia lak 5 na kutulia na kifaa hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
integemea na matumizi, mfano unaweza tu ukanunua desktop lolote kariakoo ukalifanya tv box (HTPC), itakuwa ni bei rahisi lakini long term itakuwa bei ghali sababu utalipa umeme mwingi Tanesco.

nzuri ni hizi ambazo zinatumia umeme mdogo, zipo ndogo kama flash na zipo nyengine ndogo kama mkebe ule wa shule.

hizi ndogo kama flash utazipata za aina mbili

1. za atom
hizi hazina speed sana, zinatumia umeme mdogo kama watts 2 na vile vile bei ni rahisi, hizi kwenye dola 30 hivi unaanza kuzipata ambayo ni chini ya laki 1 ya kibongo, zinafaa mambo madogo kama kuangalizia youtube, kucheki movie, kustream mpira, kuchat fb etc pia utacheza games nyepesi nyepesi.
stick-in-hand2.jpg

2. zenye core m,
hizi ni kati ya core i3 na i5 zina speed sana na umeme kidogo zinatumia kama watts 4 hivi, sema bei yake nayo imeenda shule ni kama dola 250 hivi kupanda, unafanya mambo karibia yote, utacheza games kubwa kubwa, na mambo mengine ya pc.

hivyo hizi ndogo kama flash ni nzuri kwa show, sababu unaichomeka nyuma ya tv hakuna anaeiona, mtu akija anaona tu tv yako ina features nyingi.

ambazo zipo kama mkebe zipo hivi.
nuc6i7kyk-front-back-rwd.png.rendition.intel.web.480.270.png

hizi zinaweza kukaa pamoja na king'amuzi na deki mbele ya tv, hizi pia zipo aina mbili kama za juu hapo zenye atom ambazo zipo slow na zenye core series kama i3, i5, i7, m etc

hivyo mwisho wa siku inakuja kwenye matumizi yako tu.
 
Chief mkwawa takutafuta ili nielimishwe mambo mengi tupeane number please embu nibeep please 0655920008

itabidi nitafte hii sasa. maana.,
 
Huu uzi ni wa muda kidogo ila ni muhimu. Sikuwai kujua kama kuna windows Tv boxes. Je ni nn tofauti ya kimsingi kwenye Tv box na Pc ya kawaida. Yaani nn naweza kufanya na nn siwezi kufanya katika pc na Tv box.

Neno sahihi tutumie HTPC kirefu home theatre personal computer.

Hizi ni kama computer nyengine za kawaida zinarun kila kitu kama computer ila zipo optimized zitumike kwenye TV yako. Vitu ambayo HTPC inakazania kuliko pc ya kawaida ni kama.

1. Muonekano.
Mara nyingi HTPC huwa na muonekano mwembamba na mdogo kama deki ama ving'amuzi, kama una hela ndefu kunakuwa na case maalumu za kutengenezea hizi HTPC ambazo zinakuwa na display kwa mbele kuleta fashion fulani hivi, button za volume, mlango wa cd mwembamba etc
top.jpg

2. Connectivity
Kwenye HTPC kutaekwa vitu kama
-infrared sensor ili uitumie na remote
-connectivity za tv kama HDMI
-connectivity za Audio kama Aux ili uconect na sabufa/home theatre yako

3. Power usage
Mara nyingi zinatumia cpu zenye umeme mdogo na zinakuwa na feni lisilo na kelele ama zisiwe na feni kabisa kama utatumia cpu za umeme mdogo zaidi. Mfano atom series.

4. Software
Hapa kunaekwa software rafiki wa tv kama vile kodi, windows media centre, cyberlink power dvd, popcorn time etc.

Ila kama budget hairuhusu unaweza ukaibadili desktop ya kawaida kuwa HTPC, unanunua tu kama gpu ama sound card unapachika na kutumia. Pc ina faida nyingi over android linapokuja suala la ku consume media kwenye tv hasa kwa sisi nchini masikini ambao kila kitu tuna pirate.
 
Asante Boss Mkwawa. Ngoja ntaingia Ebay nichek bei na specifics. Vipi na kuhusu Programs ambazo zinaweza kuwa installed ni hizi za .Exe au kuna za namna yake katika WinTV Box
 
integemea na matumizi, mfano unaweza tu ukanunua desktop lolote kariakoo ukalifanya tv box (HTPC), itakuwa ni bei rahisi lakini long term itakuwa bei ghali sababu utalipa umeme mwingi Tanesco.

nzuri ni hizi ambazo zinatumia umeme mdogo, zipo ndogo kama flash na zipo nyengine ndogo kama mkebe ule wa shule.

hizi ndogo kama flash utazipata za aina mbili

1. za atom
hizi hazina speed sana, zinatumia umeme mdogo kama watts 2 na vile vile bei ni rahisi, hizi kwenye dola 30 hivi unaanza kuzipata ambayo ni chini ya laki 1 ya kibongo, zinafaa mambo madogo kama kuangalizia youtube, kucheki movie, kustream mpira, kuchat fb etc pia utacheza games nyepesi nyepesi.
stick-in-hand2.jpg

2. zenye core m,
hizi ni kati ya core i3 na i5 zina speed sana na umeme kidogo zinatumia kama watts 4 hivi, sema bei yake nayo imeenda shule ni kama dola 250 hivi kupanda, unafanya mambo karibia yote, utacheza games kubwa kubwa, na mambo mengine ya pc.

hivyo hizi ndogo kama flash ni nzuri kwa show, sababu unaichomeka nyuma ya tv hakuna anaeiona, mtu akija anaona tu tv yako ina features nyingi.

ambazo zipo kama mkebe zipo hivi.
nuc6i7kyk-front-back-rwd.png.rendition.intel.web.480.270.png

hizi zinaweza kukaa pamoja na king'amuzi na deki mbele ya tv, hizi pia zipo aina mbili kama za juu hapo zenye atom ambazo zipo slow na zenye core series kama i3, i5, i7, m etc

hivyo mwisho wa siku inakuja kwenye matumizi yako tu.
1.Sasa kiongozi,Mimi lengo langu nipate ambayo nitaweza kudowload app kama ya Azam au mobdro nk,na labda iwe na playstore...ila hizo zilizo kama flash na Mi box zipi zinafaa kwa matumizi ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom