Hizo ni dalili tosha kwamba umeanza kuchepuka, kwahiyo akili yako imetekwa na hisia za mme/mke mwingine...unamuona partner wako si lolote ukimlinganisha na mchepuko.. Siku ukitendwa vibaya na mchepuko utajuta na kuomba kutubu zambi zako na utatamani umuombe msamaha mke/mme wako, na mwisho wa...
Hivi mnakaa na kuumiza vichwa suala la Elimu Tz...hivi kwa elimu ipi inayotolewa Tz hii...Wabara someni sisi tutawaajiri kwenye makampni yetu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaita ni uchawi kwasababu tu ni practice za Kiafrika,ama kweli Dizi zilizoletwa na majahazi mnajiona nyie ndo wa peponi tu moja kwa moja..Ila Mungu mjanja sana ndo maana akajificha asionekane,maana mmengesumbua sana
Wafugaji na wakulima wanaathiriwa sana na wanyama pori kuhalibu mali zao...ukienda TANAPA kudai fidia a uharibifu walahi utakoma,kwanza utabambikiwa kesi ya uwindaji haram ili usirudi tena kudai fidia...Sasa wanyonge wafanye nini...Simba wakiua mifugo,kesho yake raia wanachukua utumbo wa mzoga...
Kwa Tz hakuna tofauti ya aliyesoma OUT na vyuo vya kawaida,elimu ya kibongo siyo helpfull saaana...Bora usome OUT uungze gharama za ada,vyuo vingne ada kubwa elimu yenyew magumash tu....
Usiliamini 100% hilo jiwe kama tiba ya sumu ya nyoka,hasa wenye sumu kali kama vile Cobra au Blackmamba...jiwe hili husaidia sana kwa nyoka wasio na sumu kali pamoja na wadudu jamii ya nge,buibui na tandu..Kwa wale wakazi na watakao bahatika kufika Wilaya ya Kilosa hasa maeneo Kilosa mjini...
Mtoto akifaulu pongezi kwa mzazi na mwanafunzi,ngoja sasa wafeli utasikia pale hamna walimu,walimu hawafundishi kabisa,fyuuuuu....Toto halifaulu mzazi jiongeze hizi ni zama za kibepari pesa mbele kama tai....
tatizo uislamu unatukataza kula kibudu ng'ombe wangu unipangie wa kumla? no thank u,kama ilivyo kwa wakristo kutupangia idadi ya wanawake wa kuoa...hapana kwa kweli matunda yote haya halafu unipangie nichume mti mmoja tu...
TOFAUTI:1.ukipga nyeto unajisikia raha sna na ukiabort utapata maumiv makali sana. 2ukipiga nyeto unatoa manii ila ukitoa mimba utatokwa na damu nyingi.3 abortion inaweza sababsha kifo ila nyeto walaaa inakuponya kiroho.4 abortion inatumia pesa nyngi sana,ila puchu akaaa costless.5,puchu huokoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.