Mikataba ya kazi za ualimu

Mikataba ya kazi za ualimu

Too low. Every comment is accompanied by lol. What does it?

Kyeshekya?

Stop childish argument be serious

naionea aibu JF,im shy and not confident person,unfortunately I can not hide that,lol.
 
Unaishi wapi wewe,nani amekuambia wahudumu wa afya wanatoa huduma nzuri.
(Uliwahi kusikia habari ya mtu kupiga chafya akiwa chumba cha kuhifadhia maiti).
Ukitaka huduma bora za afya nenda binafsi.

Mkuu umenena! Yani shule na hospital za private zinaokoa sana watu
 
hello JF,

Sijui kama hio system ipo au bado,

Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,

sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu tukategemea matokeo tofauti,

Kwa mfano,Dar na Mtwara,shule zilikua za mwisho mwaka jana,

kama hakijabadilika kitu,

then matokeo mabaya yatakuja na mwaka huu tena ,

mtanilaumu,lakini niko upande wa wazazi wanaopoteza mamilioni ya ada,only vijana wao kupata four ama zero..............

kukiwa na walimu ambao hawako competent,hii system itawatema,sababu baada ya miaka miwili kama anaperform vibaya,haongezewi mkataba.

This also means,wale walimu wazuri tu ndio wanaajiriwa,na walimu wabovu wanakua OUT,lol

najua mtaanza mwanafunzi wanatakiwa wajisomee wenyewe,ila asikwambie mtu mwalimu akiwa mzuri,utaenjoy somo. Akiwa mbaya utachukia tu,kwa sasa hatuna option,unakaa nae hivyo hivyo.

tena kama wanafunzi wa boarding ndio kabisaa hili linawahusu.
Umefikiri bila kutafakari.. Kuna mambo mengi yanayofanikisha kufaulu kwa mwanafunzi. Kwanza ni mwanafunzi mwenyewe kuwa na utayari, mazingira yanayomzunguka i.e zana za kujifunzia, financial etc motisha kwa mwalimu katika kudeliver kwa kifupi mchango wa mwl ni 15% tu. Jiulize je ni waalimu wote katika mkoa husika hawana uwezo mzuri mind you waalimu wote wamepitia vyuo sawa mbona usawa wa ufaulu hauko sawa mikoa yote. Utatafakari hicho ulichwaza
 
mkuu mbona mnasema hivyo?
wekeni wazi,lengo la kuileta hii mada sio kuleta vijembe bali kuelimishana,kwa mfano huko kijijini ungeweka wazi ,nini changamoto mnazozipata....
Ok kabda ya yote anza kuishauri serikali iboreshe kwanza miundombinu ya kufundishia na maslah ya walimu then ikishafanya hayo uje uandike uliyoandika hapo
 
hello JF,

Sijui kama hio system ipo au bado,

Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,

sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu tukategemea matokeo tofauti,

Kwa mfano,Dar na Mtwara,shule zilikua za mwisho mwaka jana,

kama hakijabadilika kitu,

then matokeo mabaya yatakuja na mwaka huu tena ,

mtanilaumu,lakini niko upande wa wazazi wanaopoteza mamilioni ya ada,only vijana wao kupata four ama zero..............

kukiwa na walimu ambao hawako competent,hii system itawatema,sababu baada ya miaka miwili kama anaperform vibaya,haongezewi mkataba.

This also means,wale walimu wazuri tu ndio wanaajiriwa,na walimu wabovu wanakua OUT,lol

najua mtaanza mwanafunzi wanatakiwa wajisomee wenyewe,ila asikwambie mtu mwalimu akiwa mzuri,utaenjoy somo. Akiwa mbaya utachukia tu,kwa sasa hatuna option,unakaa nae hivyo hivyo.

tena kama wanafunzi wa boarding ndio kabisaa hili linawahusu.
Yani laiti ningejua nisingeingia humu Leo....umeniharibia siku yangu ya Leo na Uzi wako.

Naomba nikuulize maswali ya fuatayo.

1.Unazani watoto kufeli ni ubovu wa mwalimu tu? Watoto wa Dar visingeli na kubeti vimewaharibu alafu ww unasingizia walimu ....kwani hapao 1990's ufaulu ulikua hivi?

2. Watu mumemsahau mwalimu then unategemea BRN kweli?
3.Haitoshi toto linapewa hesabu za kuchagua Necta darasa la saba linapita halijua kitu,Toto linafika form Two linapita kwa divission means D mbili tu limetusua linaingia form 3 alafu utegemee form 4 afaulu ...huo si muujiza?

Enzi zetu form two wastani chini ya 30 hukatishi kwenda form 3 ngoooooo.

Aiseee mkuu Pia ntaomba ujikumbushe kupitia Uzi wangu niliouleta humu jamvini juzi nikawa na lalamikia na kuleza kwa kina na kusisitiza juu ya swala hili hili.

Tuache kabisa siasa ktk swala nyeti kama hili...Niwahakikishie tu kwamba malipo ni hapa hapa duniani.

Mkuu Uzi wako umenifanya nisile nyama zangu vzr Leo

commred Chichimizi
 
hello JF,

Sijui kama hio system ipo au bado,

Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,

sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu tukategemea matokeo tofauti,

Kwa mfano,Dar na Mtwara,shule zilikua za mwisho mwaka jana,

kama hakijabadilika kitu,

then matokeo mabaya yatakuja na mwaka huu tena ,

mtanilaumu,lakini niko upande wa wazazi wanaopoteza mamilioni ya ada,only vijana wao kupata four ama zero..............

kukiwa na walimu ambao hawako competent,hii system itawatema,sababu baada ya miaka miwili kama anaperform vibaya,haongezewi mkataba.

This also means,wale walimu wazuri tu ndio wanaajiriwa,na walimu wabovu wanakua OUT,lol

najua mtaanza mwanafunzi wanatakiwa wajisomee wenyewe,ila asikwambie mtu mwalimu akiwa mzuri,utaenjoy somo. Akiwa mbaya utachukia tu,kwa sasa hatuna option,unakaa nae hivyo hivyo.

tena kama wanafunzi wa boarding ndio kabisaa hili linawahusu.

Hahahaaaaa shule imejengwa kati kati ya mlima hadi ufike huko kuna 4km had 5 halafu kuna nyumba moja ya mwalimu mkuu na mkuu mwenyewe anaogopa kuishi maana nyumba ipo peke yake haina jirani ,

majiraji wako mbali na shule kama 2 km hivi hahaaaaa!! Watoto wanatoka km 6 hadi 8 kwenda shule wakiwa wamevalia yebo safi kabisa na kandambili zao,hizo ndizo shule za kata bwan,

Wakati huo kitabu kipo kimoja kimoja kila somo halafu cha miaka 10 iliyo pita hadi cover halionekani hahaaaaa! Hizo ndizo shule za kata bwana

Kesi ya madawati nimpongeze sana tena sana Mh! Rais magufuli maana kwa sasa madawati sio changamoto maana shule nyingi madawati yapo ila changamoto madarasa sasa aisee maana madara mengine yaligeuzwa maabara wakati wa joto la maabara enzi za Rais mstaafu Kikwete.

madawati yamepangwa hadi mlangoni hahaaa watoto lukuki darasani mwalimu hawezi kupita kuzungukia wanafunzi maana hakuna pa kupita asee!

Kwa shule za sekondari nyingi vitabu vya sayansi vipo vya kutosha kabisa ila vya masomo ya sanaaa dah!! Shida kubwa na kila shule ina kitabu chake hahahaaa huku cha nyambari nyangwine , huku cha msabaha , huku cha Oxford, kule cha TIE yaani mh!, hiki kinasema kuna sayari tisa huku kinasema nane aisee na wanafunzi wote nchini wanafanya mtihani mmoja yaani NECTA. aiseee!

Shule moja wanasoma watoto wa ukoo mzima kuna binamu hapo hapo ,dada hapo hapo , wakwe hapo hapo, wayembi hapo hapo , mashemeji hapo hapo,na ,mawifi pia, wengine wanaitana bibi hapo shuleni na wengine babu , kuna kina sanji hapo, hahahaaaaaa!!kuna watwatsi hapo hapo aiseee

Ukitokea msiba kijijini hapo karibia nusu nzima ya shule msiba una wahusu na wote wanahitajika kushiriki msibani maana aliye kufa ni ndugu wa wanafunzi wote hahahaaaaaa , aiseee

Watoto wanatoka nyumban saa11 alfajiri kwenda shule bila kula chochote wanashindishwa shuleni hadi saa 10 jioni hahahaaaaa!tena bila kula chochote , Halafu hadi kufika nyumbani saa mbili usiku ndio ale hadi cha kushindia kesho tena kisha alale ajiandae tena kesho kuamka saa 11 alfajiri kuwahi namba aiseee,

halafu tunalazimisha dv 1,2,3 kwa wingi, huu ni mzaha kabisa na hizo ndizo shule za kata zinazo milikiwa na serikali

Wakati huo serikali nayo imeingiza mihemko ya kisiasa inataka matokeo mazuri kabisa kwa gharama ndogo na naafuu kabisa hivyo ili wizara ikwepe lawama na gharama ikaleta mfumo wa maswali ya kuchagua shule za mising ili isahihishe na mashine ili kupunguza gharama za kusahihisa walimu.

Kitu ambacho hata mtoto asiye jua kusoma anaweza akaamua tu kujaza "A" maswali yote 50 kwa masomo yote na kabahatika kupata walau hata robo kama sio nusu ya maswali yote naye kuwa kwenye kundi la walio fahuru kwenda sekondari hahaaaaaa!! Ndio maana kesi ya wasio jua kusoma shule za kata haiishi aisee dah

Wakati huo pia mwalimu analazimishwa kwenda kusahihisha mitihani ya mock bila malipo na nje ya kituo chake cha kazi yaani umbali wa km zaid ya 20 kwa kuambiwa kuwa ni sehemu ya kazi yake hivyo hakuna malipo na anatumia nauli yake na gharama ya kula kwake ,kulala kwake hahaaa halafu una mtishia afanye kazi kwa ufanisi na ole akosee.dah!!

Na kama halmashauri itajitahidi sana ita mlipa pesa ya nauli tuu ambayo huwa ni flat rate bila kujali umbali wa kila mwalimu aisee!!

Wakati huo kasikia kuna watu wamekaa kikao kisicho zidi masaa matatu na kulipwa posho ya laki nne wakati huo kikao hicho kikiwa ni cha kazi vilevile kama yeye daah! aisee hii ndiyo elimu ya bongo

Nadhani nyie watoa mada muwe mnafanya kwanza tafiti kwa shule zote sio mmejifungia masaki na msasani mnaangalia shule za huko halafu mnakurupuka huku kuja kutoa ushauri wa kijinga

Wakati huo kuna wanafunzi na wana kijiji ambao kwao elimu ni kitu cha ziada hivyo wanafanya juu chini kuhakikisha wanakwamisha ikiwa ni pamoja na kuwafanyia vitimbi vya kishirikina walimu na baadhi ya wanafunzi wanao jitahid kitaaluma darasani hahaaaaa!

Mara siku ya mtihani haoni ubaoni, mara karasi halina maandishi wakati limechapishwa , mara mashetani yamepanda hahahaaaa! Oooh! Mara mwalimu anashtukia kalazwa mtoni na bukta yake yeye na mke wake na katoto kao ka miezi 7 looo! Hajakaa sawa anastukia kesho tena kaamkia makaburini dah!! Aisee Hizi ndizo shule za kata bwana ,

Kipindi cha masika shuleni hakuendeki kutokana na eneo ilipo shule si mwalimu wala mwanafunzi anaye weza kwenda shule maana shule ni kama imetupwa porini kusiko fikika kukiwa na masika maana ili ufike lazima uvuke mito na vijito hahaaaaaa , shule inafunga bila mfungo rasmi , looooo! Mvua imefunga shule yarabi! Shule za kata bwana.!

Hebu nendeni vijijini huko mkafanye tafiti acheni kujifanya washauri wa maswala ya elimu wakati mmejifungia ndani mnapigwa viyoyozi kwenye viti vya kuzunguka.

Walimu wanavumilia mengi sana na wana maumivu mengi sana mioyoni mwao ni kama samaki analia weeeeeeeeee machozi yabebwa na maji hivyo huonekana kama mda wote ana furaha na hayo ni baadhi ya mengi ambayo nimeyaona kwenye utafiti wangu juu ya maisha ya mwalimu na mazingira yake ya kazi na mengi sija yaandika maana kuna mambo mengi sana sana sana.

Na kama vile mmemjua kiongozi wenu alivyo na maamuzi ya papo kwa papo pasi na kufikiri wala kutafakari basi nanyie mnautumia vema udhaifu wake huo na mnajitahidi sana kumtumia , na kwa vile yeye ni mpenda matokeo mazuri bila kujali visaidizi vya hayo matokeo mazuri kweli mmempata.

Mimi nilijitahidi kutembelea shule nyingi za vijijini na zahanati za vijijini kama 52% ya shule zote za sekondari nchini na 12% ya shule za msingi na 68 ya zahanati maana nilikuwa na kazi maalumu aisee niliyo kutana nayo huko hadi najiuliza hivi hawa wanao panga scheme za elimu huwa wanafanyia shule zipi tafiti zaoo,? nahisi huwa wanaishia shule za dar pekee tena za mjini tuu halafu wanapanga mipango kazi ya elimu kitaifa

KWAKWELI WAPANGA MIPANGO WA ELIMU HEBU KUWENI SERIOUS BASI PANGENI MIPANGO INAYO TEKELEZEKA KWA SHULE ANGALAU ZA MAENEO YOTE WALAU HATA KWA 70% SHULE ZA MIJINI SIO CASE STUDY NZURI KUTOLEA MAAMUZI YA KITAIFA MAANA SI NYINGI KAMA ZA VIJIJINI MTAWALAUMU WALIMU BURE PAMOJA NA KWAMBA NA WAO WANA MADHAIFU YAO.
 
Elimu ukiangalia kwa karibu kamwe huwezi pata jibu sahihi ili pawepo na mafanikio pande nne zinabidi zishirikiane ambazo ni :serikali
mwalimu,
mwanafunzi na
mzazi
Kama mazingira ya upatikanaj wa elimu utaboreshwa ikiwemo miundombinu na maslah kwa mwalimu na jamii kuelimishwa umuhimu wa elimu basi nchi yetu itafika mbali fikiria leo hi **** baadh ya shule wanasomea chini ya mti haraf shule ina walimu 2 je hapo kuna mafanikio. kwa leo ni hayo tu
 
naona mmekua emotional....

it is expected,

mmeafiki au hamjaafiki,hoja ya kuwe na mkataba wa miaka miwili.kwa walimu?lol
 
Wazo lako ni zuri linalenga kuleta msisimko chanya ila kuna tatizo Kubwa kwenye Elimu ya watoto Wa taiga hili .

Kwanza lazima ujue wadau Wa Elimu ya hawa watoto

1.Mzazi
2.Mtoto mwenyewe
3.Mwalimu
4.Mazingira

Mzazi ni kiungo muhimu mno kwenye kuhakikisha mtoto wake anafaulu kama familia haitoe mawazo chanya kuhusu Elimu sahau kuhusu mtoto kufaulu.

Mtoto nae ni mdau muhimu kwenye hili suala kuna watoto wapi Shule ila ni hoi bin taabani kwenye masomo yaani hawawezi tunawafosi tu na kuwapotezea muda na sisi kupoteza rasilimali yaani hata miujiza haiwezi badili hilo .Pia kuna watoto wana uwezo sana kwenye masuala ya Shule hata haihitajiki nguvu nyingi.

Mwalimu ni kiungo muhimu chenye asilimia 25 tu kwenye ufaulu Wa mtoto Mara nyingi huyu ni kumsaidia na kumuongoza mtoto aende kwenye utaratibu uliowekwa. Mara nyingi wazazi na mazingira hatuviangalii tunamlaumu mwalimu tu hata kama Mzazi amemtelekeza mwanae bado atalaumu mwalimu.

Mazingira nayo yana mchango kiasi kwenye suala hili mazingira ya Shule kwa upande mmoja na ya jamii inayozunguka eneo hili.

"Never stop learning because life never stop teaching"
Kuna sehemu moja inasikitisha sana
Yaani wazazi baba na mama washindwa maisha wanawatelekeza watoto wajihudumie wenyewe matokeo yake

Wanaanza kuomba omba na wa kike kwenye umalaya
Acheni kuwazaa kama hamna uwezo wa kuwapa elimu bora

Au wanazaliwa kwa bahati mbaya??
Wa hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mbona mnasema hivyo?
wekeni wazi,lengo la kuileta hii mada sio kuleta vijembe bali kuelimishana,kwa mfano huko kijijini ungeweka wazi ,nini changamoto mnazozipata....
Unawasumbua walimu wako frustrated.

Ukitaka kujenga kizazi bora wape matumaini mazuri walimu wataongea na kuwalea vyema watoto

Ukitaka kizazi cha hovyo mkatishe tamaa mwalimu
Ni sawa na kumnyanyasa house girl halafu ukategemea malezi mazuri kwa mtoto wako

Serikali ina walimu wazuri tu ila ari yao ni mfu na wengine kuhamia private kutokana na frustration

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto akifaulu pongezi kwa mzazi na mwanafunzi,ngoja sasa wafeli utasikia pale hamna walimu,walimu hawafundishi kabisa,fyuuuuu....Toto halifaulu mzazi jiongeze hizi ni zama za kibepari pesa mbele kama tai....
 
Mamilioni yapi wakati watoto wanasoma bure siku hizi
Halafu unaona upande mmoja tu je na walimu kutopewa stahiki zao wanadai pesa za madaraja hawajalipwa na bado hadi sasa wanapokea mshahara uleule aliouacha kikwete walimu ni binadamu wana nyongo pia hawawezi kuona sheria kanuni na miongozo ya utumishi inavunjwa halafu ukategemea watakuwa na moyo wa kujituma hiyo haipo, ili kazi ifanyike lazima mwalimu apate motisha.
Motisha yenyewe ni kumpandisha daraja kwa wakati na kumpa annual incriment kila mwaka kama mikataba ya ajira na mahusiano kazini inavyoelekeza, sina hakika kama mwajiri mkuu analijua hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingekua kila mtu anauwezo wa kumpeleka mtoto wake private,si angefanya hivyo?yaani wazazi wanajua kabisaa kumpleleka mtoto shule ya serikali ni janga,lakini wanajilipua hivyo hivyo,sad.
Kwahiyo wewe unadhani sababu pekee inayopelekea wanafunzi kufeli ni walimu? Wazazi, mazingira pamoja na jamii kwa ujumla wanao mchango mkubwa sana ktk elimu ya mtoto. Nilienda shule moja ya msingi nikakuta mwl anafundisha watt wa drs la kwanza watoto mia tatu peke yake! Madarasa hayatoshi, watoto wengi hv unadhani kwa mazingira hayo mtoto atajua kusoma kweli? Halaf hawa ndio wanaenda kuanza form one wengine hata kusoma hawajui. Huko sekondar nako mazingira bado magumu watoto wanaenda huko wengi wao wabovu, hlf ni wengi, mazingira mabovu plus utandawaz na wazaz wasiojielewa! Mambo ni mengi sana yanayochangia watoto kufeli by the way mwl ana 25% tu the rest 75% ni watoto wenyewe, wazazi, maxingira, jamii n.k
 
hello JF,

Sijui kama hio system ipo au bado,

Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,

sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu tukategemea matokeo tofauti,

Kwa mfano,Dar na Mtwara,shule zilikua za mwisho mwaka jana,

kama hakijabadilika kitu,

then matokeo mabaya yatakuja na mwaka huu tena ,

mtanilaumu,lakini niko upande wa wazazi wanaopoteza mamilioni ya ada,only vijana wao kupata four ama zero..............

kukiwa na walimu ambao hawako competent,hii system itawatema,sababu baada ya miaka miwili kama anaperform vibaya,haongezewi mkataba.

This also means,wale walimu wazuri tu ndio wanaajiriwa,na walimu wabovu wanakua OUT,lol

najua mtaanza mwanafunzi wanatakiwa wajisomee wenyewe,ila asikwambie mtu mwalimu akiwa mzuri,utaenjoy somo. Akiwa mbaya utachukia tu,kwa sasa hatuna option,unakaa nae hivyo hivyo.

tena kama wanafunzi wa boarding ndio kabisaa hili linawahusu.

MKUU,

ACHA UJINGA!
ELIMU NI BURE NA WAZAZI TUNA_RELAX,
HAKUNA KULIPA ADA!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanafunzi hata uende ukawafundishie sayari ya 5 hawawezi kufundishika.
Mwalimu
Mzazi
Mwalimu
Mazingira
Pesa.
Mbona shule za private wanafaulu? Hizo za serikali ni za ovyo sana, leo hata afya nenda hospital za private. Juzi kuna mwalimu wakawekwa lupango kisa kasahau kujibu swali la kiongozi fulani juu ya shule yake ilikuwa ya ngapi 2015.
 
Wewe ni mmoja kati ya wengi wanaopenda kuingilia sekta ya elimu. Ni vile tu huna cheo. Hayo unayoyaota cjui unayaita mawazo hana maana yoyote kwa kua umejikita sana katika kufaulu kwa wanafunzi, na shutuma zako zipo kwa walimu kwa imani hio ndio inafanya walimu na taaluma yao wadharaulike mno.
Umesahau kua hakuna sehemu yenye changamoto kama sekta ya elimu hasa hawa waalimu mbali na mishahara yao, mazingira ya kazi, miundo mbinu na kukosa motisha bado wanajitolea sana kuifanya kazi hio.

Sehemu nyingi zenye ufaulu mbaya hata waweke mkataba wa mwaka mmoja haziwezi kubadilika kama serikali haiwezi kuwajibika ipasavyo, kuanzia kwenye maslahi,miundo mbinu, mtaala na vitendea kazi kama vitabu vya aina moja ambavyo havileti mkanganyiko katika ufundishaji, pamoja na kutoa motisha kwa walimu.

Mikoa kama ya kusini ambayo inaongoza kwa kushika mkia moja ya chanzo ni upungufu wa walimu,afu wewe tena unataka wapewe cjui vitu gani, wanajiengua wenyewe wengine wanakimbia hizo sehemu ni changamoto sana, haiitaji mkataba sekta hii inahitaji serikali inayoijali kwa ukaribu sana.

Utoro upo kila sekta ila sekta hii kutokana na mazingira yake walimu hutoroka kujitafutia wapate chochote kitu, maana mshahara hautoshi na hakuna anaejali, hata hivo ni idadi ndogo sio kiwango cha kuyaongelea sana. Yarekebishwe matatizo walimu wetu wafanye kazi full.
 
hello JF,

Sijui kama hio system ipo au bado,

Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,

sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu tukategemea matokeo tofauti,

Kwa mfano,Dar na Mtwara,shule zilikua za mwisho mwaka jana,

kama hakijabadilika kitu,

then matokeo mabaya yatakuja na mwaka huu tena ,

mtanilaumu,lakini niko upande wa wazazi wanaopoteza mamilioni ya ada,only vijana wao kupata four ama zero..............

kukiwa na walimu ambao hawako competent,hii system itawatema,sababu baada ya miaka miwili kama anaperform vibaya,haongezewi mkataba.

This also means,wale walimu wazuri tu ndio wanaajiriwa,na walimu wabovu wanakua OUT,lol

najua mtaanza mwanafunzi wanatakiwa wajisomee wenyewe,ila asikwambie mtu mwalimu akiwa mzuri,utaenjoy somo. Akiwa mbaya utachukia tu,kwa sasa hatuna option,unakaa nae hivyo hivyo.

tena kama wanafunzi wa boarding ndio kabisaa hili linawahusu.
Umewahi kushauri juu ya maslahi ya waalimu, au ninyi ndo wale vibaraka wa wanasiasa uchwara wanaosisitiza uwajibikaji pasipo haki stahiki?
 
Serikali inataka Elimu ambayo iko centred kwa mwanafunzi. Kwa hiyo mwanafunzi ndo mdau namba moja wa kujifunza kwake na kazi ya mwalimu ni kumsaidia tu/kumwekea mazingira ya yeye kujifunza. Sasa ukute mwanafunzi mwenyewe hataki kusaidiwa, anataka kupigana tu au kupingana na mwalimu kwa kila kitu afu uje kumhukumu Mwl. kwa maamuzi ya mwanafunzi, mi naona si sahihi.
Main point: Kama tunaamua hatima
ya mwalimu kwa ufaulu wa mwanafunzi, basi teaching-learning process iwe teacher-centred and vice versa is true.
 
Back
Top Bottom