Recent content by 00001

  1. 0

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka, wakamalia vipi hapa nitatoboa?

    Nimerudi.... Kama ulifuata huu ushauri nitumie ya soda boss. Yote miwili imetiki
  2. 0

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka, wakamalia vipi hapa nitatoboa?

    Ushauri wangu wa kikamaria Ingia kwenye site ya Mkeka wa Leo. Tafuta mikeka yao ya VIP (wanatoa minne). Beti mkeka wa tatu na wanne Nitarudi kwenye huu uzi baada ya matokeo, faida utakayopata usisahau kunitumiapo ya soda
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Broker wangu wa hisa ni kama anazingua

    Shukrani aisee, itabidi nihamie huko
  4. 0

    JamiiForums Tanzania Broker wangu wa hisa ni kama anazingua

    Wote changamoto yao ni moja, simu hawapokei, emails hawajibu, malipo wanachelewesha sana
  5. 0

    JamiiForums Tanzania Broker wangu wa hisa ni kama anazingua

    Huyu ndio niliambiwa ako vizuri, kama na yeye anazingua sijui tutakimbilia wapi
  6. 0

    JamiiForums Tanzania Broker wangu wa hisa ni kama anazingua

    Aisee utajuta 😂 ingia insta kwenye page yao angalia jinsi raia zinalalamika
  7. 0

    JamiiForums Tanzania Broker wangu wa hisa ni kama anazingua

    Ni broker yupi mkuu? Mtaje Mimi nilikuwa na matatizo kama hayo kwa Orbit Securities, nilivyofanikiwa kuuza hisa zangu nikahamia kwa mwingine (iTrust finance) huyu nae matatizo yale yale, simu hawapokei, email, messages, DMs hawajibu, unaweka order ya kuuza leo na inakuwa fullfilled the same day...
  8. 0

    JamiiForums Tanzania Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

    Jinsi unakazana kukwepa hoja za mshkaji unajigeuza kituko mkuu. Amekuuliza Sheikh Shariff Majini na Master Twindwa waliiandamana wapi, walichoma gas stations ngapi, na ofisi ngapi? Yule askari magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyekuwa likizo Dar na akapigwa risasi na polisi maeneo ya Mazizini...
  9. 0

    JamiiForums Tanzania Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

    Na tofauti pekee ya kimawazo kati ya chawa na binadamu mwenye akili timamu ni ipi?
  10. 0

    JamiiForums Tanzania Full Time: JS Kabylie 0-0 Yanga lCAF CLl Group Stagel l Hocine Ait Ahmed Stadium l 28-11-2025 l 19:00 Usiku

    Siasa na mpira ni vitu viwili tofauti and yet kuna timu fulani ilichangia chama fulani cha siasa 100M kwaajili ya kampeni
  11. 0

    JamiiForums Tanzania Ukweli na Ustadi: Jinsi ya kupata faida katika Michezo ya betting kwa uhakika

    Nafikiri njia mojawapo nzuri ni kwa kufuata utabiri wa wataalamu. Kwa sasa zipo sites nyingi tu zinatoa tabiri za kila siku na kuna uwezekano mkubwa wa kushinda ukizifuatisha. Kuna sites kama MikekaTips - Tips na bashiri za kila siku za mpira wa miguu huwa zinasaidia sana kwenye kutengeneza odds...
  12. 0

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo kidogo kipofu nimeona mwanga.... Kanji nimemliza mtaji wa bajaji mpya kabisa Asante sana Kanji wa Sportybet, Asante sana Partizan kwa ushindi mnono Asante sana Ekenas - SJK kwa magoli Asante sana Kongsvinger - Mjondalen kwa magoli Asante sana Odense - Aarhus kwa magoli Asante sana...
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Ligi Kuu baada ya mchezo wa leo

    Azam amejitahidi kuleta challenge kwenye huu Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC kwa huu msimu wa 2024/2025. Natamani sana Singida Big na Azam waitawale top 3 hadi mwisho wa msimu.
  14. 0

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzagu kama upo single, tumia njia hii kuondoa upweke

    Nje ya mada kidogo: Kuna uzi huko unasema vijana wengi walio chini ya miaka 35 wana changamoto ya afya ya akili. Hili unalizungumziaje mkuu?
  15. 0

    JamiiForums Tanzania "Uswahili-Uswahili" ndio umeshakuwa msingi wa maisha ya Mtanzania na kibaya zaidi hata katika issue zinazohitaji professionalism

    Kwamba barua ya kuachishwa kazi imetoka leo asubuhi, mchana mshkaji kapanda ndege.... Amekataa kabisa kupoteza mda kwenye hii nchi ya waswahili
Back
Top Bottom