Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mzigo huo hapo kwa inaye hitaji dm me
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Habari wapendwa Jina langu ni jerry pia ni dalali wa nyumba,vyumba,frem,viwanja na hata mashamba kwa ajili ya kuuza na kupanga kwa maeneo yote ya dar es salaam, Je unahitaji nyumba ya kupanga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello, Naomba kuuliza kama naweza pata samaki wabichi wa mwanza katika soko la Buguruni ambao hawajakaa muda mrefu. Nawasilisha.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mahitaji yako ya haraka ya panya waliokomaa weupe na weusi wasiliana nasi. Panya dume mpevu anapatikana kwa bei nafuu ya shilingi elfu tisa mia sita na thelathini tu (dola 4.29) Zaidi ya...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tunauza mchele super kutoka mbeya Grade 1 - 2,100 Grade 2 - 2,000 Grade 3 - 1,900 0756709338 Duka lipo dodoma kisasa sheri
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Imejengwa kwa plan ya kupangisha, ndani ya geti moja lakini kila moja ni chumba kimoja, sebule, jiko na choo chake (self contained). Maji ya dawasco na umeme umeunganishwa. Bei ni milioni 29...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu nahitaji tv mpya kati ya hizi Samsung au Philips kwa Tshs 250,000/=. Niko hapa Fire.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakubwa. Naomba mwenye kufahamu wasafirishaji wazuri wa mizigo tajwa hapo juu kutoka Dar kwenda Dodoma . Ikiwezekana nikipata na mawasiliano yao ama sehemu wanakopatikana hii...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Tunauza , Tunasambaza na kununua nafaka aina zote Tupo dodoma mjini Kwa maelezo zaidi piga 0756709338
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Hp elitepad 900 Laptop ya kisasa yenye uwezo wa kuwa tablet Inakaa na charge mpaka masaa 7 Win 8.1 Ram 2gb Ssd 64gb Bei 300,000/= Karibu 0764118083 Nipo dsm
0 Reactions
3 Replies
788 Views
Karibu mteja kwetu ni zaidi ya Mfalme, nipo Arusha lakini nafanya kazi popote ulipo nakufikia sina makuu kwa mahitaji yote ya domestic wiring na industry wiring bila kusahau vifaa vinavyotumia...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Mzan aina ya Galaxy mpya unauzwa elf 80 tu...Upo kigoma mjin Mawasiliano: 0762990097
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Unga wa LISHE Wenye MCHANGANYIKO wa : MAHINDI SOYA ULEZI KARANGA NGANO MCHELE. Ni kwa ajili ya watu wote, watoto Kuanzia miezi sita. Tupo kinondoni Dar es salaam. 0676868660/0713441511...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unga wa lishe wenye mchanganyiko wa: 1.Mahindi 2.Soya 3.Ulezi 4.Karanga 5.Ngano 6 Mchele Ni kwa ajili ya watu wote, watoto Kuanzia miezi sita. Tupo kinondoni Dar es salaam. 0676868660/0713441511...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Un interupted Power Supply (UPS) au powe nack up Ni mfumo ambao unasaidia upatikanaji wa umeme hata baada ya umeme wa Tanesco kukatika. Mfumo huu unaweza kutumia vyanzo mbadala vya nishati kama...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
begi la safari la Hello kitty pink ni 45 safari la blue ni 45 hilo pink dogo lenyd mdoli 12 lenye katai 15, hello kitty black pink 12 viatu pure lether elfu 22 vitu vyote ni mtumba vipo nyegez...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari...Nauza TV ya SAMSUNG mpya kabisa ikiwa na box na vifaa vyake vyote...Ni kubwa inch 42 kama unavoziona picha kwa being chee kabisa LAKI SABA TU. CALL/WHATSAP 0764468469 DAR ES SALAAM
3 Reactions
77 Replies
10K Views
Back
Top Bottom