Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zebu Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari. Naomba Kama kuna mtaalam...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anatafutwa mkalimani wa kijerumani, kama unamjua naomba tuwasiliane, nitumie meseji inbox.
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Mwenye uhitaji wa maharage aina ya njano au kigoma anitafute 0744277879
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Used wheel alignment machine ( one set) inahitajika. Plse PM
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Ndugu niko katika mchakato wa kuanzisha kakiwanda ka kumenya mpunga.. Je Kuna sehemu huwa wanakopesha hizi mashine za Sb 50?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nipo Dar, Nataka kufanya biashara ya kuuza kuni kwa bei ya reja reja, nilikuwa Nahitaji wanaofanya biashara hii kwa jumla, ili niweze kununua kwao na pia wanipe changamoto ya biashara hii, walio...
1 Reactions
6 Replies
3K Views

Jmk Royal Services
Dealer wa vifaa vya ujenzi,yakiwemo mabati,tiles,wanakuletea

Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)

Mabati ya mikunjo(Versatile)
<br...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jmk Royal ServicesDealer wa vifaa vya ujenzi,yakiwemo mabati,tiles,wanakuletea/> Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)
Mabati ya mikunjo(Versatile)

Mabati migongo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bati la VERSATILE/ROMA/KIGAE/MIKUNJO Bati la VERSATILE/MIKUNJO yapo katika aina tofauti na mikunjo tofauti inategemea na machine kiwanda walichofunga,uzalishaji wake huwa slow kidogo kulinganisha...
1 Reactions
6 Replies
52K Views
Habari za leo wanajamvi Mimi ni kijana ambaye ni mjasiriamali. Najishughulisha na uuzaji wa vyakula na vinywaji kama juisi na maziwa. Friji yangu imekufa na biashara ya vyakula bila vinywaji ni...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
City kuku ni wauzaji na wasambazaji wa kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler),mayai ya kienyeji ya kisasa, mafuta ya alzeti, asali mbichi, mtindi na samaki.....huduma ya delivery pia ipo lkn...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza simu samsung j1 ace 130k nipo dar Nicheki 0676010297
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, nauza hard disc aina ya Seagate barracuda yenye 2TB (2000gb)...Bei ni 150000/=...kwa mawasiliano zaidi piga namba 0753858259 au 0684420141
0 Reactions
4 Replies
891 Views
Habari Mwaka Huu Mwanzoni nilinunua Madini ya Silicon kwaajili ya Kusafirisha kwenda kuyauza nje ila nimekwama kutokana na Matatizo ya Kifamilia Pesa zote nilizokuwa nimepanga nitanunulia silicon...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya Majukumu wana jukwaa? Baada ya kupokea maoni kutoka kwa wadau wetu na wateja wetu mbali mbali, hatimae tumeamua kukubaliana na ombi la kuwekeza pesa kidogo kidogo kwa kati ya miezi 3-...
8 Reactions
117 Replies
20K Views
Aseee kwemaaa heee kama yupo mwenye anavutiwa kuimba aje tufanye promotion apaeee kwa kiki, awe wakiume awe wakike aje tuone...hit up my dm asap for music arguments natafuta kina burna boy au...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa kuanza nina mtaji wa 15M. Huku kwetu hakuna mikate Kwa anaejua Machine za Ku tengenezea mpaka kufungia na ziwe kibiashara zaidi anijuze ukubwa na bei tafadhari
1 Reactions
16 Replies
15K Views
Wakuu Habari za leo, naingia kwenye mada kama inavojieleza naomba kujua kupitia kwenu nipo dar ni wapi nitapata duka linalouza simu zilizotumika kutoka ulaya au Africa kusini ama popote dunia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
NAUZA SAHANI ZA UDONGO KUTOKA JAPAN ZA JUMLA NA REJAREJA NAPATIKANA Tandika MAWASILIANO 0712246164
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom