Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari, Mimi ni dereva wa Uber, natafuta gari la kazi. Iwe ya mkataba ama gari ya hesabu kwa week. Gari iwe na plate number nyeupe ama njano. Niko vizuri na nina uzoefu na kazi yangu pia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, iPhone 6plus ya GB 64 mpya inauzwa, Rangi ni Gold Capacity 64 Haijawahi kutumika ni mpya kabisa Inakuja na Box lake kabsa. Inapatikana Dar es salaam Bei Tsh 400,000/= FIXED...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wapendwa Nauza tv flat aina ya digital inch22 haina tatizo bei 180000 na Htc m8 bei 140 Ram 2gb Rom 32gb 4g cm iko fresh haina tatizo N.b exchange inaruhusiwa na samsung tu.asanteni
0 Reactions
0 Replies
648 Views
BEI 55 MIL PLOT 23*20 +Unfinished house Ina VYUMBA VINNE KIMOJA N MASTER BED ROOM DINING NA SITING ROOM KUBWA CHOO NA STORE NA JIKO KUBWA MBWENI MASITE HAKINA UDALALI MADALALI.MNAKARIBISHWA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Chama cha wafugaji wa kuku SUMBAWANGA kinapenda kuwatangazia wateja wake wote pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa ifikapo tar 1/08/2018 vifaranga vya aina mbalimbali vitapatikana kwa bei...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mbwa aina ya German Shepherd dume anauzwa Mahali; moshi, Kilimanjaro Umri; miezi 6 Mawasiliano; 0783961260 au 0685065677
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa majhitaji ya mbwa wa ulinzi hapa ni German shepherd, Pitbull, Rottweiler, Ridgeback, Belgium shepherd, Doberman, pia nauza na mbwa wa ndani au urembo Maltese, spitz, etc kila mbwa na bei yake...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu, naitwa Thomas napatikana Bunju natafuta wanunuzi wa mayai ya kisasa, ni makubwa na yana kiichi cha njano ofa yangu ni 5500 derivery ni juu yangu mimi mwenyewe ni mfugaji mayai natoa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu nimeanza ufugaji kondoo na ninataka kuwa mfugaji mkubwa, nina shamba la kutosha. Kupitia hapa naomba mwenye ufahamu zaidi wa soko anisaidie. Asante.
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wana JF, Ikiwa una uhitaji wa gari ya aina ya Toyota model yoyote utapatiwa Cha kufanya unatuambia bajeti yako/ofa yako na specific za gari unalohitaji Kisha tunakupatia kwa haraka...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari ndugu zanguni ZAYAD CREATIVES New Offer! Offer! Offer! Ndugu mpendwa, Tumekuletea suluhisho bora kwa watu wa majumbani, maofisini, mamalishe na babalishe, mahoteli, migahawa na makampuni...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
heloo habarii za jion wana jamii forurm natafuta fundi wa kutengeneza furniture za chuma mfano vitanda vya chuma meza za chuma na uremboo mbali mbali za chuma ambaye yuko tayarii...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jipatie machine ya kisasa ya kukamua miwa. Inakamua maramoja tu miwa, haurudii rudii kukamua. Ina mazingira ya usafi na kichujio chake Tupo Kariakoo Mtaa wa Muheza/Magira Mawasiliano: 0788622610
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, ni kheri na wikiendi inaenda vyema kabisa. Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu. Natafuta laptop aina zifuatazo: - HP - ASUS - LENOVO Nitachukua mojawapo...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Nauza Samsung NX30 camera system . camera body ipo katika hali nzuri kabisa original box, CDs and camera strap. Na inauzwa pamoja na lens zake 3 kama unavyoonekana katita picha Samsung 18-55mm...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
KIWANJA KINAUZWA KINANYUMBA NDOGO PEMBENI VYUMBA VIWILI MAHALI SOWETO MOSHI UKUBWA SQM10" 000 KINA DOCS ZOTE HALALI ZA WIZARA BEI MILIONI 65 CONT 0713458722/ 0688552275
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Toyota Hilux D/Cabin inauzwa. Ipo katika hali nzuri sana. Haina tatizo lolote. Imekua ikitumika kwa kazi za nyumbani. Body, engine, interior vyote vipo katika hali nzuri sana Details: Year of...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam Zipo pikipiki mpya na used boxer pamoja na Bajaj mpya na used aina ya TVS...... Bei ya pikipiki used kuanzia milioni 1,000,000Tsh mpya Mpaka milioni 2,000,000Tsh kulingana na ilivo. Njoo...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Habarini ndugu wana jamvi, poleni na shughuli za kila siku. Leo nawakaribisha tujadili au kukumbushana kuhusu Black Friday sale ya mwaka huu. Black Friday inakaribia kwa kasi, kwa wale wajuzi wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji chumba maeneo ya Bamaga, Ubungo, Makumbusho. kuanzia elfu 80 kushuka kimoja kiwe self na kingine single room. Mawasiliano yangu ni: 0711456317
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…