Mashine mpya ya kukamulia miwa kwa Tshs 1 million tu

Mashine mpya ya kukamulia miwa kwa Tshs 1 million tu

al-baajun

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
297
Reaction score
225
Jipatie machine ya kisasa ya kukamua miwa.

Inakamua maramoja tu miwa, haurudii rudii kukamua.

Ina mazingira ya usafi na kichujio
chake

Tupo Kariakoo Mtaa wa Muheza/Magira

Mawasiliano: 0788622610

IMG_20180712_133955.jpg
IMG_20180709_093101.jpg
IMG-20181230-WA0024.jpg
 
Imetembea Km ngapi?/imetumika kwa muda gani?
 
Soma maelezo vizuri ni mpya
Nilisoma maelezo kwa kuelewa ila sikusoma kichwa cha habari kwa kuelewa/umakini.

Kichwa cha uzi ndio kimetaja kuwa ni mpya ila maelezo hayajataja
 
Back
Top Bottom