Thomas laija
Member
- Oct 20, 2019
- 8
- 4
Habari wakuu, naitwa Thomas napatikana Bunju natafuta wanunuzi wa mayai ya kisasa, ni makubwa na yana kiichi cha njano ofa yangu ni 5500 derivery ni juu yangu mimi mwenyewe ni mfugaji mayai natoa shamba trey 500 kila siku. Kwa mawasiliano 0688802045, 0621290458. Ahsanteni.