Natafuta fundi wa furniture za chuma

gentleman92

Member
Apr 26, 2019
17
13
heloo habarii za jion wana jamii forurm

natafuta fundi wa kutengeneza furniture za chuma

mfano vitanda vya chuma

meza za chuma

na uremboo mbali mbali za chuma

ambaye yuko tayarii kuanzisha ofice mahali


aliee tayarii tuwasiliane kwa no 0672153636

kwa maelezo zaid
 
Na kwakuwa sikupendezwa na maua maua, nikaona hakuna ubaya niji undia draft bed na dressing table yake inayo hang a side with mounted na bolts
IMG-20191103-WA0008.jpeg
IMG-20191103-WA0009.jpeg
IMG-20191103-WA0005.jpeg
 
Back
Top Bottom