Wakuu nauliza anayeifahamu system ( software na hardware ) zinazotumika kumonitor mauzo na mzigo uliopo dukani au supermarket kama ile ya mlimani city na malls zingine , hasa ile ambayo kila...
habari zenu wakuu! Mimi nipo zanzibar nataka kuanzisha biashara ya viatu vya mtumba tena vile classic vya kike ila sijajua wapi ntapata mabero ya viatu . Wenye uzoefu tafadhali tujulishane.
Habari wakuu, kheri ya Krismas.
Nina uhitaji wa mabegi ya shule kwa watoto wa nursery, jumla yake ni zaidi ya Mia mbili, viatu na mashati. Kama Kuna mtu humu naweza fanya naye biashara hiyo...
Habari nauza laptop HP yenye sifa hizi:
Operating system
Windows 10 op 64bit
Memory
8 GB DDR4-2133 SDRAM (1 x 8 GB)
Memory and storage
8 GB memory; 1 TB HDD storage
Processor family
7th...
Tunauza simu aina ya vivo kuanzia tsh 549,000 hadi 269,000/=
Tupo duka la splash city mall - Dar es Salaam mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Service center ipo china plaza
Sent using Jamii...
Lipo katika Kijiji Cha Ikang'asi ktk tarafa ya Lupembe mkoani Njombe.
Aina ya miti iliyopandwa ni pine
Ukubwa wa shamba ni heka 30
Shamba lina hati
Bei ni tsh milioni 20
Miti ina miaka minne toka...
Hp 8440p used . Ipo Dar - Tabata . Battery inakaa na chaji zaidi ya saa 1 . Michubuko midogo midogo kwa mbali ipo . Njoo DM tuyajenge uje ukague mashine ujibebee
Sent from my iPhone using...
Toyota passo
Year: 2005
C.C. 1290
43,000 km
Price 7m
Contact 0719444553
Ni yamwanadiplomasia. Fully duty paid (ndo mana inaplate number ya njano) amepata post nje ya nchi ndo mana inauzwa...
E63 = 90k
Asha 302 = 90k &
C1 = 40k
Bei ni fixed
Imported from UK only with original charge
E63 & asha 302 support 3.5G
All support : operamini, memory card, youtube, jamiiforum, fb, live score...
Tupo Kariakoo Mtaa wa Kongo na Aggrey.
Tunauza mashati ya kiume mikono mirefu na mifupi, Tisheti za form six, body, kadeti.
Bei zetu ni nafuu sana. Pi,a ukinunua kwa wingi utauziwa kwa bei ya...
Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu...
Habari za muda huu wakuu,
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, nahitaji suppliers (wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100, 200, 300, 400, 500,6 00 na kuendelea kwa week...
Baada ya kutengeneza App ya kutazama movie zilizotafasiriwa Kiswahili inayoitwa Muvika Online, ambayo niliiweka Google Playstore August 24, 2019 mpaka kufika siku ya leo ambapo naandika thread hii...
Habari njema Kwako mjasiriliamali,
Mashine mpya kabisa ya kutengeneza ice cream aina ya BQL F12 .
Mashine ina ujazo wa matank mawili Lita 5 kila tank.
Mashine inatoa ice cream baada ya dakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.