Nina uhitaji na mabegi ya shule

Nina uhitaji na mabegi ya shule

Emman1985

Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
37
Reaction score
44
Habari wakuu, kheri ya Krismas.

Nina uhitaji wa mabegi ya shule kwa watoto wa nursery, jumla yake ni zaidi ya Mia mbili, viatu na mashati. Kama Kuna mtu humu naweza fanya naye biashara hiyo, tafadhali nicheki PM. Nitafika Dar Alhamisi.
 
Back
Top Bottom