Karibu be forward

Karibu be forward

be forward

Member
Joined
Aug 28, 2018
Posts
49
Reaction score
17
Karibu be forward upate bizaaa mbalimbali kwa punguzo kubwa pale unapo tumia BFS ID 326720 hii itakupa punguzo hadi 80%
 
Hii ni Toyota vanguard ukubwa wa engine ni CCC 2360 imetengenezwa 2010 automatic mafuta petrol garama zake ni Tsh 38227420 million hapo ni pamoja na TRA
 

Attachments

  • BG000910_32e409.jpg
    BG000910_32e409.jpg
    24.8 KB · Views: 64
  • BG000910_f68b06.jpg
    BG000910_f68b06.jpg
    2.6 KB · Views: 64
Hii ni Toyota vanguard ukubwa wa engine ni CCC 2360 imetengenezwa 2010 automatic mafuta petrol garama zake ni Tsh 38227420 million hapo ni pamoja na TRA
mna landcruiser hardtop?
 
DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 1278269
 
DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 1278269
DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 12782692
BF923709_446abc.jpg
IMG_20180906_093755_252.jpg
BF923709_a35502.jpg
 
Naomba kujua bei ya hizi gari
1. Audi A8 'used'
2. FORD RENGER 'new'
3. Telsa 'used'
 
AUDI A8 Ya mwaka 2004 engine capacity CCC 4170 mafuta petrol seat 4 milango 4 kununua gari ni tsh =9039000 tra ni tsh 6610817.20 jumula 15649817
BG000395_082a49.jpg
BG000395_286138.jpg
 
Ford ranger ya 2016 CBC 3200 automatic seat 5 door 4 tra pekeyake 34118919 kunua gari ni tsh 70308700 jumula ni tsh 104427619
 
Be Foward , jaribu kutumia alama za uandishi (koma, vituo, e.tc), hesabu zako zinaleta tabu, mfano: Tshs. 1,300,000.00, baada ya kuweka point za desimali, hesabu kila baada ya number tatu uweke koma, back to the topic, Raum, Spacia na Honda Hrv naomba price ya hayo magari nilinganishe na bajeti yangu, usiache kunitag tafadhali!
 
kluger na herrier 2007 - 2008
Harrier 2007 ccc 2360 milango 5 seat 5 automatic inauzwa tsh 12,238,300 million garama za tra ni tsh 13,734,399.30 million jumula in tsh 25,972,699 million
BF940960_464980.jpg
BF940960_051298.jpg
BF940960_696594.jpg
 
Back
Top Bottom