Nahitaji mfumo ya kumonitor mauzo ya duka/ supermarket

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
428
Reaction score
766
Wakuu nauliza anayeifahamu system ( software na hardware ) zinazotumika kumonitor mauzo na mzigo uliopo dukani au supermarket kama ile ya mlimani city na malls zingine , hasa ile ambayo kila bidhaa inapewa namba ya utambulisho alaf ikichukuliwa na mteja inapita kwa cashier anatumia kifaa fulani kama sensor nafikiri kurecord kwamba kimetoka . Anayefahamu system hii inapatikana wap anisaidie na wanajukwaa wengine ambao pia wangependa kufahamu, nawasilisha
 
Mbona inaelekea inaijua. Maana umefafanua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mangi na ndoto za kumiliki duka mwaka mpya.

Iko hivi, kuna mifumo mbalimbali za kuweka record/track mzigo/imventory uliyonayo.

Kuna package invetory packaging..tatizo ya hii iyakuwa ngumi sana kufahamu record za bidhaa mojamoja maana yenyew inabeba ujumla wa stock.

Nayoweza kukushauri ni database program kama Microsoft Access..hii inaweka eecord kwa kila bidhaa ulizoingiza, ipi imetoka, imetoka kwa haraka gani na zipi hazitoki.

Inakupa rukhusa ya kupanga report zako vizuri kujua aina mzigo unaotoka rahisi.

Ikiwa ngumu kwako..tumia mfumo wa labers basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina supply hizo solutions...kama uko serious unataka kununua njoo pm
 
Wakuu nauliza anayeifahamu system ( software na hardware ) zinazotumika kumonitor mauzo na mzigo uliopo dukani au supermarket kama ile ya mlimani city na malls zingine , hasa ile ambayo kila bidhaa inapewa namba ya utambulisho alaf ikichukuliwa na mteja inapita kwa cashier anatumia kifaa fulani kama sensor nafikiri kurecord kwamba kimetoka . Anayefahamu system hii inapatikana wap anisaidie na wanajukwaa wengine ambao pia wangependa kufahamu, nawasilisha
It wanahusika hapo
 
ukiitaji 2d scanner nishtue... Ninayo nauza
 
Wakuu nauliza anayeifahamu system ( software na hardware ) zinazotumika kumonitor mauzo na mzigo uliopo dukani au supermarket kama ile ya mlimani city na malls zingine , hasa ile ambayo kila bidhaa inapewa namba ya utambulisho alaf ikichukuliwa na mteja inapita kwa cashier anatumia kifaa fulani kama sensor nafikiri kurecord kwamba kimetoka . Anayefahamu system hii inapatikana wap anisaidie na wanajukwaa wengine ambao pia wangependa kufahamu, nawasilisha
Njoo nikupe credentials uone demo ya billing system inatengenezwa na dims company...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona waungwana kibao wameonyesha uwezo wa kukusaidia,Big up waungwana.
 
Back
Top Bottom