King mkucha
Member
- Oct 14, 2016
- 89
- 71
Nanunua simu mbovu aina zote haijalishi imekufa kabisa au ni vipi, usitupe tena simu iliyombovu niwekee tufanye biashara.... mimi nipo dsm call me on 0654388979
Kwahiyo unamfuata mteja alipo au biashara inafanyika kwa njia gani mkuuNanunua simu mbovu aina zote haijalishi imekufa kabisa au ni vipi, usitupe tena simu iliyombovu niwekee tufanye biashara.... mimi nipo dsm call me on 0654388979
Kwahiyo unamfuata mteja alipo au biashara inafanyika kwa njia gani mkuu
Haijalishi ni ubovu gani nainunua yoyoteYanga mbovu hununui
Kweli umedhamiria.Haijalishi ni ubovu gani nainunua yoyote
Sawa mkuu, Nina simu moja tu Samsung J7 Prime Grand . tatizo lake ilianguka tu ikazima basi.Inategemea anasimu ngapi nitamfata alipo, nitakufata kuanzia simu 5 ila kwa watu wa dar ila wa mikoani tutawasiliana
Sawa mkuu, Nina simu moja tu Samsung J7 Prime Grand . tatizo lake ilianguka tu ikazima basi.
Naishi Kimara Bonyokwa.Uko pande gani?
JAMANI NAVYOSEMA MBOVU YAANI NAHITAJI MBOVU KABISA USIYOIHITAJI TENA
Beiiiiii kwa sm 5 ni sh ngapJAMANI NAVYOSEMA MBOVU YAANI NAHITAJI MBOVU KABISA USIYOIHITAJI TENA
Sony Xperia Z5 Compact. Kioo kimepasuka