Laptop ya Toshiba inauzwa

Laptop ya Toshiba inauzwa

BENNICK

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
634
Reaction score
866
Hello . Nauza Laptop computer, Toshiba satellite pro ni nzima nimeamua kuiuza sababu nimenunua nyingine bei 200K,
Ina tatizo la betri haitunzi charge kabisa, Port moja ya USB haifanyi kazi (kushoto), pia natumia external sound card sababu port ya earphone ilitumbukia ndani sikutaka kuipeleka kwa fundi. Otherwise mashine ni nzima haina tatizo lolote,Haina crack wala haijavunjika sehemu yeyote, keyboard, Display, HDD vyote viko sawa kabisa. inafaa kwa matumizi ya kawaida unaweza kuitafutia betri ,huku mkoani nimetafuta naambiwa hadi niagize dar. Nimeambatanisha picha hapo chini
SPECIFICATIONS
HDD-500GB
RAM-2GB
Bluetooth, wireless connectivity
PROCESSOR-Intel Celeron Duo core 1.9Ghz
Display- 15.6 Inch
Napatikana Block T, Mbeya ()
IMG_20180601_192944.jpg
IMG_20180601_193000_HHT.jpg
IMG_20180601_193015_HHT.jpg
 
Hello . Nauza Laptop computer, Toshiba satellite pro ni nzima nimeamua kuiuza sababu nimenunua nyingine bei 200K,
Ina tatizo la betri haitunzi charge kabisa, Port moja ya USB haifanyi kazi (kushoto), pia natumia external sound card sababu port ya earphone ilitumbukia ndani sikutaka kuipeleka kwa fundi. Otherwise mashine ni nzima haina tatizo lolote,Haina crack wala haijavunjika sehemu yeyote, keyboard, Display, HDD vyote viko sawa kabisa. inafaa kwa matumizi ya kawaida unaweza kuitafutia betri ,huku mkoani nimetafuta naambiwa hadi niagize dar. Nimeambatanisha picha hapo chini
SPECIFICATIONS
HDD-500GB
RAM-2GB
Bluetooth, wireless connectivity
PROCESSOR-Intel Celeron Duo core 1.9Ghz
Display- 15.6 Inch
Napatikana Block T, Mbeya (0739808351)
Vipi mlango wake bado mzima? Pia inaweza kuburn dvd?
 
Ndio , Mlango wa DVD una read na kuwrite kama kawaida, pia una burn CD/DVD. Issue kubwa ni battery tu na USB port moja
 
Npo isengo njoo uchukue 150 kesho asubuh pale bodaboda parking
 
Back
Top Bottom