Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naitaji boxer yenye ipo na hali nzur isizid mwaka na miez 3 , mashine isiwe imefunguliwa location dar bei itaendana na hali ya piki2 ofa inaanzia laki 9 had 1.1M Sent from my iPhone using...
0 Reactions
4 Replies
887 Views
Kama unaitaji fundi umeme basi nipo hapa kwa dar es salaam.nipe kazi yoyote ile wala hatuwezi kushindwana maana bei zangu ni za kawaida sana kulingana na hali ya sasa. Mawaailiano 0652868486 Sent...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
solar charger controllers ; 1. rated current 20A @ 22000 Tsh 2. rated current 10A @ 20000 Tsh solar LED bulb light ; rated power 3W @ 5000 location ; dar - ubungo xternal Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Habarini wanaJF, Wale wauzaji na wanunuaji wa viungo vya chakula (ILIKI, KARAFUU,MDALASI NA PILIPILI MANGA) tukutane hapa, tujue soko lake likoje, upatikanaji wake na changamoto zake. Karibuni...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Bei yake ya kuuza ni milion sita na laki tano(6,500,000/)maongezi kidogo yapo.nishawekea plate # mpya za pikipiki,pikipiki sijatumia kabisa hapa tz tangia nitoe denmark Kwa wale serious buyers...
0 Reactions
23 Replies
16K Views
Hello wana wa JF Tunapenda kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa vifungashio vya kaki kwa bei ya jumla popote pale ulipo Tanzania tunakutumia kwa uaminifu wa hali ya juu kabisa, tunapatikana Iringa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau ninauza eneo la shamba lenye ukubwa wa ekari 3 lina mimea ya mikorosho na minazi; limepitiwa na bonde linalotiririsha maji hivyo laweza kutumika kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Eneo...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Make: Subaru Model: Forester Year of manufactures: 2009 Engine capacity:1990cc Milleage: 65,000 km Automatic Transimision Fuel:Petrol Body type: Station Wagon Colour: Black Very clean inside and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
LG HOME THEATER 1000 W inauzwa shida ya haraka itatuliwe ni mpya kabisa nipe 600,000 nipo Mwanza muhitaji nicheki tumalize biashara 0716863406
0 Reactions
27 Replies
49K Views
Ndugu wanabodi salam kwenu Tafadhali sana nimehangaika sana kutafuta mbegu ya ufuta ya Lindi 02 au Naliendele 92 kwa Dar sijafanikiwa mwenye mawasiliano ya kituo cha Naliendele ili niweze kupata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa anayejua wapi naweza pata Tall Oil Rosin (TOR)/Gum Rosin anijuze kwa hapa Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Nauza Airpods na smart Bracelets kwa bei ya January 2020. CHECK katika list then ufanye chaguzi ili tufanye biashara Upande wa Airpods Brand zilizopo ni hizi hapa QCY— QS2, T3 & T5 Bei ni —...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zipo mkoani Tabora desktop computer 2 hdd 500GB ram 4GB I CORE 3, monitor nch 22 aina ya Dell used ya ulaya bado haijatumika kwa hapa bongo Bei kwa zote ni Tsh .730,000/= ukitaka moja pia utapata...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Huduma hizo hapo juu zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa. Pia ukihitaji kufundishwa ili ufanye mwenyewe njoo kwa mtaalam wa CAD, over 5 years of experience. Napatikana Tabata. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Habari! Ninauza dinner set yenye viti vinne iko katika hali ya kawaida kwa bei ya tshs 140000/= inapatikana Mwanza. Pia ninauza kitanda cha mninga futi 4×6 kiko kwenye hali ya kawaida kwa tshs...
0 Reactions
116 Replies
14K Views
Kwa wale wanaopenda utali na kusafiri tunawaandali uluguru hiking ambayo itafanyika tarehe 28 mpaka 29 march kwa yule anahitaji kujiunga nasi anaweza tembelea tovuti yetu ya www.safari56.com au...
2 Reactions
0 Replies
658 Views
For sale(SOLD) MI NOTE 7 Display 6.3" Corning Gorilla Glass 5 Ram 4g Rom 64gb Dual Camera 48mp/12mp Selfie 13mp Fingerprint Android 9 Used like new Bei 270000 Sent using Jamii Forums mobile...
0 Reactions
5 Replies
945 Views
Mimi ni dereva natafuta gari aina ya Noah kwa ajili ya biashara. Gari iwe kwenye hali nzuri na iwe na Ac, kadi ya gari yoyote iwe private au commercial nitaichukua Hesabu kwa wiki ni 150,000...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
PLOT FOR SALE ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Goba - kilometers 2 kutoka njia nne na 1 kilometer kutoka barabara ya lami ya kwenda Madale. Kiwanja kina ukubwa wa 625 square...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom