Wakuu, habari?
Naomba kama kuna mtu anamfahamu au ni mhusika wa uwakala wa Oryx gas anaisaidie. Nataka kufanya biashara ya uwakala wa gas mkoani Njombe, Ludewa.
METATRON LIFT CO. LTD, Tunakuletea Stabilizer nzuri na zenye viwango vya hali ya juu toka nchini UTURUKI , Tunazo kwa ukubwa tofauti kutokana na matumizi yako. Zipo za Single Phase (STATIC VOLTAGE...
Wakuu naomba estimate price ya side mirror, nimevunja ya kulia baada ya kupigwa pasi na coaster.
Kama kuna mahali naweza pata bila longo longo naomba maelekezo, nipo dsm!
Sent using Jamii Forums...
Nauza EHDD za aina mbali mbali
Zipo Transcend, Toshiba, Samsung.
Bei ni Tsh.
160,000/= kwa 1 Terabytes
100,000/= kwa 500 Gigabytes
Mawasiliano 0652673861.
Tupo sinza Lion opposite na Sinza T...
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta)...
Habri wana jf
Jipatie GARI AINA YA Toyota CROWN ROYAL
BEI 14 m
Plate no.DMC
Cc:3000
6gear
Mwaka 2006
Note.gari haijawahi kuguswa Wala kubadilishwa chochote.haina hata shida moja NI kuwasha na...
Processor core i3 fourth generation@1.90GHZ
Ram 4GB, HDD 500GB
Intel hd graphic 1.7gb
13 inches display
Iko vzuri Haina shida kabisa,ikikusumbua ndani ya siku tatu unanirudishia.
Bei 420,000Tsh...
Gari aina ya Toyota rav4 milango 5 linauzwa limetembea km 185000 gari ni Autamatic bei ya kuuza ni milion 8 tu
Gari lipo kwenye hali nzuri na limetunzwa vizuri sana.
Geri linapatikana Banana...
Wapendwa nauza Tv flat Screen LG INCH 43 imetumika miezi nane tu bado ina makaratasi yake..
Bei laki 700,000/= mazungumzo yapo.
Location ni Dodoma.
Mawasiliano-0758291272
Safiri na As Salaam Air kwa Safari za Kutoka Zanzibar-Arusha kwa Tsh 80,000/=
Dar es Salaam-Arusha kwa 100,000/=
Wasiliana nasi kupitia:
[emoji338]+255 757 64 05 61
E-mail...
Shamwa Logistics ni kampuni ya Clearing and Forwarding inayojihusisha na kutoa mizigo bandarini na viwanja vya ndege kwa kufuata taratibu husika za airport, bandarini na mamlaka ya mapato. Hivyo...
Wapendwa wanajamii, ninatafuta nyumba ya kupanga.
-Napendelea iwe inapatikana kati ya Kimara na Ubungo (Inaweza kuwa Kimara, Baruti, Bucha, Kona, au Kibo)
-Iwe ya chumba kimoja na sebule
-Isiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.