Njoo uchague sato wakiwa kwenye maji wanacheza

Njoo uchague sato wakiwa kwenye maji wanacheza

JosephNyaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
291
Reaction score
232
Tunafuga na kuuza samaki aina ya Sato watamu kabisa kwa wateja wote wa jumla na rejareja. Njoo uchague mwenyewe samaki unaowataka moja kwa moja wakiwa ndani ya maji. Bei zetu ni nzuri kabisa na za ushindani kutokana na idadi ya samaki unaotaka kununua. Tunapatikana Tandika Nguvu Kazi karibu kabisa na hospitali mpya.

Piga simu namba 0764822625

sato001.jpg
sato002.jpg
sato003.jpg
sato004.jpg
sato005.jpg
sato006.jpg
 
Mkuu hao hawajafikia kuitwa sato bali ni pelege.
 
Back
Top Bottom