We deal with photocopy, printer, computer, cctv camera and counter money Repair in term of
:services
:repair
:spare parts
Location_ dar es salaam
For more infmation: call/sms/0687982122
Display for COMPUTER.
19" size Wide
Clean and works Fine
Display Only
PRICE 85,000/
Serious Buyer CaLL 0682-030046.
Dar es Salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari!kwa uhitaji wa kufungiwa ELECTRIC FENCE bhasi usisite kuwasiliana nasi
0620384835/0716866626
Tunapatikana Dar
Nb:Popote tutakufikia bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Friji ipo kwenye hali nzuri muonekano mpya haijachezewa sehemu yeyote. Lina milango miwili american doors na freezer -drow mbili kwa chini..Nauza kwasababu nataka kuhama..hivyo napunguza vitu...
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nina Toyota pick up double cabin new model naikodisha dereva ni Mimi mwenyewe.Napatkana Mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo katika Hali nzuri, internal memory ni 32Gb na Ram ni 3Gb, Camera yake ni 16mp yaani inatoa picha clear kabisa,
Njoo tufanye biashara tuwasiliane kwa namba hizi 0653277662 Bei ni 260,000 pia...
Habari zenu wana JamiiForums, naomba kuuliza bei ya jumla ya kuuzia samaki kwa Arusha ni shillingi ngapi kwa kilo moja au zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima zenu wakuu
Kwa ambaye anajua kampuni ambayo inaweza kusafirisha mzigo kutoka Marekani hasa mji wa Iowa kuja Tanzania kwa njia ya ndege Naomba msaada wa mawasiliano yao
Au kama kuna mtu...
TV ilipasuka kioo ni flat alijitolea rafiki yangu apeleke TV kwa fundi.
Mwanzo alidai elf 80 lakini havikuepo jana nikamwambia twende tuirudishe nipeleke Dar nashangaa leo anasema vioo vimekuja...
Ni saa Original kabisa warranty ni 1 year
Mikanda ni ya lether original
Water resistant
Free Delivery
Whatapp 0658749848 or 0686879011
Mimi napatikana Mbezi mwisho pia sijafungua ofisi bado...
Habari za mida wana JF,
Wakuu kama kuna mtu mwenye uhitaji wa site ya kufanyia kazi ya kuzia chips ama chakula kiujumla site ipo maeneo ya Kunduchi imetazamana na chuo cha jeshi kuna pub tayari...
Habari zenu,
Naulizia wapi wanaprint mifuko ya mikate ile ya lailoni nyepesi. Au kama mtu anaprint nina shida naye, nataka kujua na bei yake ipoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei nafuu ya Tsh 220000,iko kwenye hali nzuri kabisa
Niko Mwanza
0764339400
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari iko sokon. Haina muda mrefu toka iingie bongo. Ilikua inatumika kwa usafirishaji ila kuna misunderstandings zimetokea btn owner and driver hivyo imeamuliwa kuuzwa.
Gari iko Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.