Naweza kupata tofali za kuchoma hapa Dar?

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
496
Msaada tafadhali, nahitaji hizo tofali mana nazipenda sana, muongozo tafadhali.
 
Wengi naona wanayapakia kutoka huku Morogogo wanavizia yale maroli yanarudi Dar bila mzigo wanapakiza ila uwe makini na wale wanapakia wakijua wanapakia kwenye Semi Wanaiba sana ukitakata kuja sema usaidiwe mimi Nina Tipper Fuso ya mchanga
 
asante mkuu sasa shingap huko tofar
 
Back
Top Bottom