Wapi nitapata 65-inch 4k Tv kwa Dar?

Wapi nitapata 65-inch 4k Tv kwa Dar?

Tony-stark

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2019
Posts
1,020
Reaction score
1,348
Wapi nitapata hizi TV kwa maeneo ya Dar, huku mitandaoni wasije kuniliza bure,
Budget ni mil 2.5.

Pia kama yoyote anatumia aniambie juu ya ubora wake pia alinunua bei gani maduka ya bongo.

Thanks.
 
Thanks chief, nitapitia hapo mlimani city, ila vipi huko maeneo ya kariakoo.
website ya lg wanarecomend hawa
lg.PNG
 
Back
Top Bottom