Wapi wana nunua computer mbovu

mtanganyikaJr

Member
Jan 15, 2017
6
1
Mi ninauza compute aina ya HP elitebook 8440p
Core I5
HDD2500
Ram 4 GB
Inafanya kazi vizuri ikiwa na external monitor kwani tatizo lake ni Display kioo ndio kibovu
 
Mi ninauza compute aina ya HP elitebook 8440p
Core I5
HDD2500
Ram 4 GB
Inafanya kazi vizuri ikiwa na external monitor kwani tatizo lake ni Display kioo ndio kibovu
Nenda machinga complex pale karume kuna watu wananunua

Ova
 
Nna del inspiron 3521 nyeusi imekufa motherboard nauza kioo na case pamoja na ram vitu vingine vyote yake kwa elfu tisini kwa anaehitaji

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom