Naitaji freezer ya kukodi

Naitaji freezer ya kukodi

ushokora

New Member
Joined
Apr 12, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Wakuu amani iwe nanyi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mimi naitaji freezer ya kukodi kwa muda wa miezi mitatu tu.

Naitaji liwe na ukubwa wa lita 250 hadi lita 500.
Mimi naishi kibaha picha ya ndege,aliye nalo tafadhali sana naomba tuwasiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andaa hela nikuuzie nina Beko standing freezer mpya ina miezi 2 tsh 600,000/=
Kuna nyingine deep freeezer 300,000/=-
 
Attachments

  • IMG_20200202_201448_1.jpg
    IMG_20200202_201448_1.jpg
    60.6 KB · Views: 8
  • IMG_20200202_201448.jpg
    IMG_20200202_201448.jpg
    62.7 KB · Views: 11
Back
Top Bottom