Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SOLD
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Swip Cleaning Ltd Krb offer ya 50k kwa mwezi, unlimited amount ya nguo zako za mwezi.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Dumbells zinauzwa. Jumla ya uzito wa kilo 60, yaani kilo 30 kila upande. Dumbbell hizi ni combination ya: 1. Dumbbell shaft mbili kama zinavoonekana hapo. 2. Jumla ya Dumbbell plates 12 kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
4 bedroom house Fits on 450Sqm and above Kitchen&kitchen store Dinning room and sitting room Public toilet For more information contact me on 0764634423,0785788647
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wakuu. Naomba msaada kutoka kwa mtu yeyote ambaye ni mwenyeji wa Mtwara, anayeweza kunisaidia kupata eneo zuri kwaajili ya biashara ya bucha, saloon, glocery pamoja na video library...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Dont miss out this weekend, only from Budget Resort Entertainment. Friday @ the Budget lounge we have Jazz Music by Golden Getrude band from 7pm onwards and on Saturday @ the Budget BBQ...
2 Reactions
1 Replies
537 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ving'amzi havijawahi kufungwa ni vipya, jiko na gesi ni used ila mtungi wake ni mpya na uko full gesi, na microwave ni used. Naviuza vitu vyote kwa bei ya Laki...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Naitaji suzuki carry ya kukodisha,, iwe imefunikwa cabin, kwa matumizi ya DSM. cont: 0758788801
0 Reactions
8 Replies
2K Views
64 GB STORAGE 4GB RAM FACE UNLOCK FINGER UNLOCK BACK CAMERA INA KAUKUNGU ILA HUWA ZINASAFISHWA STILL NEW 280,000, 0678096545 SPECIFICATIONS [emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Natafuta single room ambayo ipo standard maeneo ya Moshono~Arusha kisiwe mbali na barabara kuu na kisiwe uswahilini Kiwe na umeme na Maji Budget yangu Mwenye nacho Karibu Pm na picha. Sent...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Wanajamvi,Nina duka linaitwa Agricultural Equipments (AgreQ)Lipo maeneo ya ILALA AMANA,tunashughulika na kusupply drip Irrigation pipes kwa zote ambazo zina ready matunde na zile za kuweka matundu...
2 Reactions
43 Replies
13K Views
Kama Kichwa kinavyo jielezea; nahitaji kiwanja maeneo ya Goba, Budget yangu ni 8,000,000/= Wahusikia karibuni 0786328632
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu habari! Nina idea ya kufanya biashara ya kununua mayai ya kizungu kwa bei ya jumla na kuyauza kwa bei ya reja reja .. Sasa, wapi naweza kupata hayo mayai kwa bei ya jumla kwa hapa DSM, na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari. Kuna jamaa ana-emrgence anauza eneo lake lipo Chanika, unashuka Kituo cha Buyuni kutoka Stand hadi hapo mwendo ni dakik 15. Kina nyumba ipo katika lenta ya vyumba viwili na kimoja ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa haraka wa kujua bei za deli ya barafu nataka nikanunue kabla simu haijazima chaji.
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Wakuu kama kinavyojieleza kichwa cha habari nahitaji fundi mahiri wa kompyuta. Laptop yangu jana ilikuw inafanya kazi vzr tu ila leo asubuhi nilipotaka kuwasha ikakataa nikanunua chaja mpya pia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninanunua gallstones ni mawe yanapatikana kwenye nyongo ya ng’ombe Nicheck Whatsapp , Call na Sms kwa No:- 0693296809
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Heshima yenu wadau. Nina uhitaji wa haraka wa PlayStation 2. Iwe used au mwenye duka ukinionea imani itapendeza pia. Iwe fat. Iwe na pads zaidi ya moja. Iwe na AV Cable na Power Cable. Iwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eneo lenye ukubwa wa 24M kwa 47M linauzwa maeneo ya Bunju B bei ni sh milioni 35 maongezi yapo nicheki kwa hii namba 0788597559 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
817 Views
Back
Top Bottom