Nahitaji chumba cha kupanga, njombe-makambako

Sung

Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
40
Reaction score
21
Bila shaka mu wazima.

Ninahamishia kambi Makambako Njombe, ningeomba kujua jwa wenyeji wapi naweza pata chumba cha kupanga kwa gharama nafuu, maeneo ya mjini mjini, pasiwe mbali sana kutoka town centre.
-kiwe single room (kikiwa self itapendeza).
-pasiwe na wapangaji wengi sana(zaidi ya 6)
-pawe na usalama.
-maji na umeme wa uhakika.
-wanakopokea bachela (najua kuna nyumba ambazo hawataki mabachela hasa wa kiume).
-chumba kizuri kwa matumizi ya binadamu.

Msaada wenu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ME au KE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom