Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Liwe Dar. Ukubwa futi 20. Bei makubaliano.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nunua raba aina ya platform sneakers, zina soli ya juu kidogo, ni nyepesi na imara Pair moja utapata kwa 25000 tu Wedge za kike utapata kwa 28000 tu Napatkana mbezi luis dsm. Mawasiliano ...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Madale kina square meters 1575 Bei milioni 35 mazungumzo yapo kwamhitaji namba no: 0764586952. Kiwanja madale mwisho ukubwa 20/30 Bei milioni nane mazungumzo yapo kwamhitaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wadau... nauza vifaa vya kuprint tshirt used kwa atakayehitahiji.. 1. screen printing machine milioni 4. vastex 4 color x 4 station na flash dryer yake.. bado bora kabisa... uje na fundi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naombeni kufahamishwa wapi naweza pata rim paper kwa bei ya jumla? Kuna mahali zinahitakika box kadhaa.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ford Rangel XLT 2006 AC ya Kujaza Diesel Manual Location: Mbezi Beach Simu: 0774819712 Gati imekaza Bei 7ML inavunjika na IST au VITZ isiwe na kipengele. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
VIKO GOBA MATOSA SIZE 20*20 3MILLION, 25*20 3.5MILLION, 40*20 6MILLION NA 40*25 7MILLION MAONGEZI YAPO. VYOTE VINAFIKIKA KWA GARI na UMEME UKO JIRANI. piga0718334726 kwa taarifa zaidi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fika dukani kwetu tukupe simu original na zenye warranty na offer ya cover na protector free kabisa. iPhone 6 16gb Black & Gold 400,000 New iPhone 6 64gb Gold silver & Black 450,000 New...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Nyumba Inauzwa Bunju sqm1860 Bei Million 650 vyumba vitano vyote self Bunju B uwanja wa simba 2klm toka lami ukiingilia Bunju b kituoni ukiingilia njia ya kwenda uwanja wa simba 1.2 klm ina title...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu nina powerbank used proda 20000 mah ipo katika hali nzuri.. Bei tsh 60000. Napatikana Moshi Mjini. 0655234557.
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Heri wakuu, Maji yamefika shingoni nimevunja kibubu kupambana nisizame majini. Kuna location ya uhakika nimepata katikati ya Dar, Wilaya ya Ilala. Eneo lina mzunguko mkubwa wa watu na kazi kibao...
1 Reactions
0 Replies
926 Views
Nyumba inayojitegemea inapangishwa Iko-Dar-es-Salaam TZ Mahali - Goba Eneo - Tegeta Nyumba mpya ya kisasa Ya kifamilia kubwa Yenye:- Vyumba vinne vikubwa vya kulala vitatu kati ya hivyo ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu, Natafuta kazi ya usimamizi mauzo, usimamizi viwandani, usimamizi miradi, kampuni yyote n.k. Au kama una connection ya kazi yoyote tuwasiliane. Nipo Morogoro Mjini. Namba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawasalimu wakuu, Mimi naishi Jijini Mwanza kimasomo lakini nina wazo la kuuza "Dagaa Nyasa" na "Kahawa toka Ruvuma" hukuhuku Mwanza kwasababu nimegundua wahitaji wapo. Kiukweli nimeshaanza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari, Natafuta kuku (matetea) ambao bado hawajaanza kutaga, ila wawe wameshaliza zile chanzo muhimu. Atleast kuanzia umri wa miezi 4,5 Mimi nipo Kimara, Korogwe Whatsapp, Call, SMS...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Natafuta chumba Dar, maeneo ya Sinza tu. Sana sana iwe sinza ya mlimani, Mori, Mapambano, Makaburini, Na Law school. Bajeti yangu haizidi 100k. Ahsante.
0 Reactions
3 Replies
880 Views
Hi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nimechinja mbuzi kama 20, na nauza korodani zake, anaetaka tuwasiliane. Angalizo: Kw wanaume, hakikisha mwenzio yupo karibu baada ya kula hizi kokwa
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu Baada ya maombi ya muda mrefu, Drone Computers tumeamua kuanza kukodisha laptop kwa watu wanaofanya miradi ya muda mfupi kuanzia miezi 3 na kuendelea. Aidha kila laptop italipiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) itaanza tarehe 09/03/2020, Dar Es Salaam City Center.Golden Jubilee Towers, 17th...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom