Line za Tigo Pesa na Airtel Money zinahitajika

Nina line ya tigo pesa nimesajili kwa alama ya vidole nauza 150000 nicheck 0718243402 ipo active hadi ss hv inafanya kazi,
 
Mkuu inachukua hadi miezi 3 au 4.
Kiwango cha kuanzia huwa wanasema 500k japo hata chini ya hapo inawezekana.
Bei ni bure lkn unajua nchi hii bure inachukua siku nyingi kufanikisha
Inachukua muda gani hadi kupata/kusajiliwa line yako ya Uwakala? Gharama yake jumla sh ngapi? Mtaji wa kuanzia inahitajika sh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo line zenye majina ya watu wengine, utakwama ùnapofanya muamala wa pesa kubwa mpaka mwenye jina akusaidie, sasa usumbufu wote huo wa nini?
Nenda kasajili kwa majina yako uwe na uhuru nazo.
Zinahitajika line za M pesa, Tigo pesa na Airtel zilizosajiliwa.
Kwa yeyote mwenye hizo line tajwa tuwasiliane pm au hapa jukwaani tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaouza hizo line zenye majina yenu jiandaeni kusaidia polisi maana mnunuzi anataka kwa bidii na hamjui atazifanyia nini. Take care!
Acha hizo line zenye majina ya watu wengine, utakwama ùnapofanya muamala wa pesa kubwa mpaka mwenye jina akusaidie, sasa usumbufu wote huo wa nini?
Nenda kasajili kwa majina yako uwe na uhuru nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom