Natafuta kazi yoyote ndugu zangu

Natafuta kazi yoyote ndugu zangu

iampizooh

Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
46
Reaction score
37
Habari ndugu zangu naitwa peter jonas,nimemaliza chuo cha ualimu,astashahada elimu msingi....natafuta kazi yoyote ya kufanya
Namba zangu ni 0623572845...nipo morogoro
C360_2020-03-05-16-18-45-774.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana msaidieni kijana, ameamua ku come out na picha juu,katika wakati ambao watu kibao wanasita "kujilipua" kutafuta kazi kwa namna ya kibingwa kama hii
 
Habari ndugu zangu naitwa peter jonas,nimemaliza chuo cha ualimu,astashahada elimu msingi....natafuta kazi yoyote ya kufanya
Namba zangu ni 0623572845...nipo morogoroView attachment 1385846

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu usifanye hicho ulichoita "kazi yoyote".Be specific au tafuta kazi zinazo relate na kitu ulichojiandaa au kuandaliwa kufanya. Chukua muda kujipima ni kitu gani unaweza kufanya vizuri,kwa haraka ni kufundisha.Kama upo Morogoro town unaweza kutembelea watu wenye kipato cha kati au juu ambao wana watoto ukaomba kuwapiga msasa nyumbani, for 1.30 to 2hrs per day ukipata na wa majirani hata wanne mpaka watano kwa mwezi 10k,hapo una 50k.
Andaa notes print ule mfumo wa maswali na majibu,piga na ma plagiarism uza kwa bei rafiki 2000 mpaka buku 5k,kila siku komaa uuze 4-5 copies hii ni 8k-25k per day kwa siku 20 ni 160k-500k.
Tembelea NGO zenye wageni jitangaze kufundisha kuandika na kuongea lugha ya kiswahili personal,ukipata hata wawili wa sessiom ya 2 hrs per day bei unapanga mwenyewe hata 75k kwa mwezi inakuwa 150k.
Ni ngumu sana lakini inawezekana ukijituma,ila hata isipofika hiyo amount utapata kiasi fulani
 
Kuna kijana,Kam wewe alileta hoja hii wadau nikiwemo,mim nikampa mchongo...kilichotekea Ni Cha kushangaza hakuonesha ushirikiano...Sasa sijui wewe unatuhakikishiaje kuwa upo sirias'
 
Kweli kuna wengine wanashida ,ila wengine walishatuvunja moyo mdogo wangu upo mkoa gani nikuunganishe kazi uwe unalipwa sh 4500 par day kiwandan alpha choice mwanxa

sent from toyota Allex
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom