Unasumbuliwa na Umeme? Tunakufungua Backup za umeme na Solar

mwajanuzaj

Member
Sep 4, 2014
22
3
Je? Umefunga Solar au Backup ya umeme na inakusumbua? Basi RESCO T LIMITED imekuja na suruhisho lako.

Tunakuja kukusolvia tatizo lako kwa gharama nafuu na tunakupa ushauri wa kitaalamu na kitaalam BURE

Tunatumia teknolojia za kisasa na kamwe hautokuja sumbuliwa na umeme wako wa Solar

KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZETU BORA MKOA WOWOTE TANZANIA.

WASILIANA NASI 0784232526
INSTAGRAM: @rescotanzanialtd
FACEBOOK: RESCO T LTD
IMG_20200329_082226_467.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nina nyumba ina vyumba viwili, seble na jiko na dining.

Natama niweke feni kila mahari, taa na friji moj, tv sebleni na chumba kimoja.

Natakiwa kuwa solar ya kiasi gani? Maana nilipo umeme bado na mimi sipendagi umeme wa Tanesco.

Nataka nikifunga Solar nisipate tena shida ya umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom